Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,645
Sio Datastar😂Angalia chuo changu kiko nafasi ya ngapi. (Amazon college)
Sio Datastar😂Angalia chuo changu kiko nafasi ya ngapi. (Amazon college)
Ni kweli kabisaaElimu ya bongo ni ile ile tu regardless umesoma wapi..utofauti upo kidogo sana
Huyo wa udsm anamiliki nini sasa kama sio passo na nyumba ya vyumba vitatu wakati kuna muuza mbao la saba hakijui chuo chochote lkn account inasoma biliionHahaha pole sana, kusoma vyuo vya kata ndio vyuo gani hivyo?
.
Mimi nimesoma UD hiyohiyo ambayo wewe unaiona sijui ni God university sijui ni nini
Vyuo bora vya kozi ya Uhasibu kwa mujibu wa sisi waajiri mimi nikiwemo niWale mnaoappy msiendeende Tu ilimradi umepata chuo .chagua chuo Bora na kozi Bora na unayoipenda.
List ya mwaka huu hiyo kadri ya unilinkView attachment 1186635
Tunachoa angalia ugali kinywani vyuo havikupi utajiri.. pia kukumbatia sifa ya chuo huo pia ni dalili ya umasikini..kuna factors nyingi huwa wanaangalia hawakurupuki ww kama umesoma vyuo vya Kata shauri yako tambua point zako hazikukutosha kwenda ud au sua
daahWale mnaoappy msiendeende Tu ilimradi umepata chuo .chagua chuo Bora na kozi Bora na unayoipenda.
List ya mwaka huu hiyo kadri ya unilinkView attachment 1186635
Hapo sasa.Sasa mimi mtu wa Sheria chuo cha Muhimbili, SUA n.k vinakuaje vyuo bora kwangu?
.
Hizi orodha huwa na tabu nazo sana kuanzia zile za mwanafunzi bora kitaifa, shule bora kitaifa n.k
.
Ungetenganisha kulingana na kada mfano vyuo bora vya masomo ya sanaa ukavitaja vyuo bora vya masomo ya science ukavitaja ila unataja kiujumla hivyo maana yake nini?
Kwani lengo kuu la elimu ni kumfanya mtu awe tajiri? Mbona kwa wenzetu huko Ulaya na Marekani ukienda unakuta hata Profesa tena mashuhuri kabisa duniani kote anaishi maisha ya kawaida tu na anakuja chuoni kwa baisikeli, pikipiki au kiCorolla? Waafrika sisi yaani bado sana aisee...Huyo wa udsm anamiliki nini sasa kama sio passo na nyumba ya vyumba vitatu wakati kuna muuza mbao la saba hakijui chuo chochote lkn account inasoma biliion
Athari ya mifumo yetu ya elimu imekuharibu...ety science na art Hadi vyuo vikuu....huu upuuzi sijui utaisha lini.Sasa mimi mtu wa Sheria chuo cha Muhimbili, SUA n.k vinakuaje vyuo bora kwangu?