Hakiwezi kushindana na University's mkuu?Hio ni college nadhani kipo chini ya nacte
Usicheke.
Hiyo imetolewa na university link world wide .Sasa mimi mtu wa Sheria chuo cha Muhimbili, SUA n.k vinakuaje vyuo bora kwangu?
.
Hizi orodha huwa na tabu nazo sana kuanzia zile za mwanafunzi bora kitaifa, shule bora kitaifa n.k
.
Ungetenganisha kulingana na kada mfano vyuo bora vya masomo ya sanaa ukavitaja vyuo bora vya masomo ya science ukavitaja ila unataja kiujumla hivyo maana yake nini?
Utaratibu wa kupanga hizo trend hata mimi huwa napata shida sana. Specification hakuna mtu anashidwa kujaji kabisa yaani... Sasa labda tumuulize mleta Uzi kuwa criteria ni nini hapo kwa hiyo classification yakeSasa mimi mtu wa Sheria chuo cha Muhimbili, SUA n.k vinakuaje vyuo bora kwangu?
.
Hizi orodha huwa na tabu nazo sana kuanzia zile za mwanafunzi bora kitaifa, shule bora kitaifa n.k
.
Ungetenganisha kulingana na kada mfano vyuo bora vya masomo ya sanaa ukavitaja vyuo bora vya masomo ya science ukavitaja ila unataja kiujumla hivyo maana yake nini?
Namba 4 inatakiwa iwe Tandabui mkuuWale mnaoappy msiendeende Tu ilimradi umepata chuo .chagua chuo Bora na kozi Bora na unayoipenda.
List ya mwaka huu hiyo kadri ya unilinkView attachment 1186635
Nimeona mkuu, shida yangu iko palepale mtu anaesoma MD akisema chuo chake bora ni MUHAS na wakati huohuo mtu anaesoma engineering akisema chuo chake bora ni UDSM alafu hapohapo anakuja mkulima anasema kwake SUA ni bora yupi utambishia na nani utamkubalia?Hiyo imetolewa na university link world wide .
Ingia unlink utaona top universities kila nchi.
Aniangalizie zion collegeAngalia chuo changu kiko nafasi ya ngapi. (Amazon college)
Hicho kiko karibu na changuAniangalizie zion college
kuna factors nyingi huwa wanaangalia hawakurupuki ww kama umesoma vyuo vya Kata shauri yako tambua point zako hazikukutosha kwenda ud au suaSasa mimi mtu wa Sheria chuo cha Muhimbili, SUA n.k vinakuaje vyuo bora kwangu?
.
Hizi orodha huwa na tabu nazo sana kuanzia zile za mwanafunzi bora kitaifa, shule bora kitaifa n.k
.
Ungetenganisha kulingana na kada mfano vyuo bora vya masomo ya sanaa ukavitaja vyuo bora vya masomo ya science ukavitaja ila unataja kiujumla hivyo maana yake nini?
Hilo unaloongea ni kweli kabisa.Nimeona mkuu, shida yangu iko palepale mtu anaesoma MD akisema chuo chake bora ni MUHAS na wakati huohuo mtu anaesoma engineering akisema chuo chake bora ni UDSM alafu hapohapo anakuja mkulima anasema kwake SUA ni bora yupi utambishia na nani utamkubalia?