Serikali iongeze kiwango cha ufaulu kudahiliwa katika vyuo vikuu

Serikali iongeze kiwango cha ufaulu kudahiliwa katika vyuo vikuu

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,110
Ni wakati sasa serikali kufanya maamuzi ya kuongeza kiwango cha ufaulu kwa udahili wa wanafunzi kujiunga vyuo vikuu ili kulinda hadhi ya vyuo na kupata graduates bora katika soko la ajira.

Napendekeza kiwango cha CCC kitumike na wanafunzi watakaoshindwa kupata hiyo sifa wajiunge na kozi za Stashahada na Ufundi. Serikali itoe mikopo kwa kozi zote za Shahada na Stashahada.

Vyuo vikuu vilivyopo vianzishe au Zitoe pia kozi za Stashahada. Value ya graduate wa Tanzania imeshuka sana kutokana na wanafunzi wengi ambao wasiokuwa na uwezo kujiunga na vyuo vikuu moja kwa moja badala ya vyuo vya Stashada.
 
Shida imeanzia O-Level kuanzia 2012...
Baada ya kuja na mtazamo, kufika 4m4 iwe ni Elimu ya Msingi.
 
Back
Top Bottom