mmm!! aiseh hizo picha unatutishaView attachment 494009chagizo lisilohitaji kuwaza sana : jiulize kwanini Nape alizuiwa kwa mtutu wa bastola asifanye press conference lakini Roma akakubaliwa? Hifadhi Jibu lako kwa matumizi ya baadae
Ushauri wa bure! Usijaribu kamwe kumdhihaki mtu aliyetekwa kisha kwa muujiza tuu akaachiwa huru na watekaji wake.... Mateka wengi hupotea moja na moja
Dhana za kuteka zina viasili vingi lakini vinavyojulikana sana ni
Kwa nia ya kupata kipato
Kwa nia yake kutimiziwa mambo fulani
Kutishwa
Kulazimishwa kusema jambo fulani
Visasi
Kuzibwa mdomo
Masilahi ya kisiasa View attachment 494010kati ya hivyo viasili hapo vibaya sana ni vile vya Kulazimishwa useme jambo fulani, visasi na mambo ya kisiasa,,, achana kabisa na huu mziki
Kule ndani kule (anapokaa chatu) kuna vyumba maalum vya mateso... Na kuna professional watesaji...hawa ni binadamu wasio na roho ya huruma... Hawa kiasili ni watu wenye roho ngumu na mbaya na huandaliwa na kupewa mafunzo maalum... Mafunzo ya kukutesa na kukuumiza ndani kwa ndani
Hawa ni watu wenye akili ya umeme wa phase moja, hawatafakari chochote, wao ni watu wa kupokea amri na kutekeleza... Basi... Wakiambiwa tesa wanatesa! Wakiambiwa chinja wala hawawazi mara mbili... Hawana fikra za familia yako ndugu zako nknk View attachment 494011 Usijifanye eti wewe hutaongea ama kubishana nao... Unajidanganya... Wana mbinu za kikatili hasa za kukufanya ulainike kabisa
Unaifahamu waterboard? Kuna mateso mabaya na ya kikatili huko.... Ukiona mtu karuhusiwa kufanya press conference lakini anababaika Sana na kujichanganya mno.... Usimlaumu, usimdhihaki kukutaka na makubwa View attachment 494012View attachment 494013View attachment 494014
Aseeee mkuu hadi mwili umesisimkaIla mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani
A.k.a Kanyampasila...Noma sana hiyo kitu..Waterboarding, mateso mabaya sana hayo. Utasema kila kitu.
Ameen MtumishiKwakweli hapo pagumu.mpaka acmamiwe na mwakyembe,ili acje akatetereka kusema kilimchomkuta,hapokuna cri nzito sn, na tucmlaumu/tucmhukumu huyu mtt ! Nakadhibitiwa mapema ili hata baadae akivujisha kilichomkuta,aonekane mwongo.
Mbona alishasema vile,na leo hivi.hizi ni mbinu za kudhibiti,ccm ickosolewe,wala kunyooshewa kidole,waweze kututawala kwa mateso yote watakayo.km mtu anakua na ujacri kutaja viongozi waliopita waliua watu ! Hii ina maana tunahabarishawa,kua hata cc tunyamaze,hatuposalama tena.Haya wananchi tafakari tumeachiwa cc.ila kusema tutasema,alimradi tuseme ya kweli,ili Mungu atutetee ktk vita hii.Mungu hakuna uclolijua lililo crini mwa serikali,nawatesaji wake.nakwakua wanaoeleza tatizo ni ccm wenzao,inamaana wanasema wanachokiju
a,itoshe tu cc tujikabidhi,kwako Ww ucye tekwa wala kuteshwa,tukiamini kwako tu ndiko kwenye usalama, wetu,na uzao wetu.Mungu tazama huu umekua co tena usalama wa taifa,bali uhatari wa taifa.asante sana Muumba wetu,kwakua tunajua na kuamini hakuna linalokushinda,Amen
Kuna watu wa kutolewa kafara ila upinzani na mbinu za kukabiliana huanza hapo..Naongeza
Madili kutokwenda ipasavyo kati ya watu, na hivyo kuumizana kivyovyote. Wengine pia wakidhulumiana pesa etc
Bwana ayoub we ni muislam unajua kwahyo vitu vinavyohusu biblia ni vizuri ukavifanyia utafiti kwanza,suala LA kuteswa ni kama msiba akiupata mwenzio ni rahisi kwako ila ukiupata wewe na ukakuhusu Kwa umpendae ndio utajua vizuri,bwana yesu Kwa taarifa yako mateso yalimuingia mpaka akajuta na kuanza kutoa lawama Kwa baba mungu,kumbuka maneno kama baba mungu mbona umeniacha?,ingewezekana kikombe hiki kiniepuke lakini si Kwa mapenzi yangu,imetosha baba imetosha,haya yooote ni maneno aliyotamka Kwa uchungu WA maumivu ya mateso na huyo alikuwa yesu mwenye uwezo aliokuwa nao,vipi wewe a mere human being?acha kauli nyepesi nyepes kaka.Wengi hapa mnaogopa sana kuteswa
Je mnaweza kuiilinda nchi yenu mbele ya maadui
Je unaweza kuiilinda familia yako ipone ili we ufe
Huu uzi nilitegemea niwaone wanawake tu wakilia km kawaida yao
But for men, huu ni utani
Bahat nzur wiki hii YESU KRISTO wiki hii anaenda kupita mateso makali pale msalabani
Hebu fikria kijana Yesu na umri wake chini ya miaka 35
Alisimamia kile anachokiamini na alifikia malengo
Leo hii Yesu ndiye mtu maarufu Zaid duniani pengine na kwingne tuskokujua
. Yesu angeamua kuingia mitin leo hii angewekwa kundi moja na Yuda msalit
Kupitia Yesu huwa napata ujasiri uliopitiliza, leo hii wazee kwa vijana wanalitaja jina la Yesu
Fikria tu Mandela Unafikiri alipitia mateso gani
That nigger Martin Luther pale USA unafkr hakujua madhara atakayoyapata for condemning civil rights
Tusitiane uoga, naamini humu weng ni vijana, sasa sisi tukiwa waoga watoto wetu tutawafundisha nini?
Nina rafik yangu wa kiisraeli kwenye Mtandao huwa ananipa Challenge hadi nachoka, and he is only 23
We live once, thamani yako sio kuogopa kufa,.... Thamani yako ni kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuish
Toa mchongo wako hata ukifa familia, nchi, dunia ikukumbuke hata ukifa chini ya watu wabaya
Hapa ni pagumu. Wamuache kijana Roma anyamaze. Hana ubavu wakupingana n jambo hili. Waliokuwa wanalaumu wasome hii post wakojoe wakalale.
Ni kweli kbs lkn hao walikuwa manabii. Yote hayo yalutokea ili kuleta ujumbe au fundisho kwa wanadamu kuonyesha utukufu wa mungu. Hakuna km manabii tn. Wenzetu wanaamini Yesu alisulibiwa . Kizazi cha leo nani atavumilia misumari? Roma kama ametishwa asiseme akisema watamfanyizia tu. Acha wabunge n vyombo vingine lipambane n jambo hili.Bwana ayoub we ni muislam unajua kwahyo vitu vinavyohusu biblia ni vizuri ukavifanyia utafiti kwanza,suala LA kuteswa ni kama msiba akiupata mwenzio ni rahisi kwako ila ukiupata wewe na ukakuhusu Kwa umpendae ndio utajua vizuri,bwana yesu Kwa taarifa yako mateso yalimuingia mpaka akajuta na kuanza kutoa lawama Kwa baba mungu,kumbuka maneno kama baba mungu mbona umeniacha?,ingewezekana kikombe hiki kiniepuke lakini si Kwa mapenzi yangu,imetosha baba imetosha,haya yooote ni maneno aliyotamka Kwa uchungu WA maumivu ya mateso na huyo alikuwa yesu mwenye uwezo aliokuwa nao,vipi wewe a mere human being?acha kauli nyepesi nyepes kaka.
Halafu ndio akaseme kwenye public...HaaahaaaUsikute hata wamefanyiwa mchezo mbaya maana kuwa mateka yasiyo julikana huwa ni mbaya na lengo la utekaji huwa sio zuri hata Siku moja usikute wamewatoa hata marinda kabisa masikini wa mungu!