Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Ila mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Ila mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani
Japo kuua wakiamua ni kitu cha sekunde tu.Wao kuua sio lengo kuu kwao,lengo kuu kwao ni mateso yako.
Najua utaona n ujinga kwa sababu ya mawazo ya watu weng kama ww...
Mfano hiv Sasa tuna bishana hapa yawezekana tungekua shamban tunalima...
Unafkr kuish kwenye maghorofa ndo tumefanya sehem salama...?
Leo hii USA ama Russia wakiamua within 1min. Dunia yote inapotea.. Je hyo ndo sehem salama uliyoitaka..
Check magonjwa yaliyotengenezwa na wanadam, mfano HIV, malaria,kansa, kisukar,na mengneyo meng...
Check moving objects znavyonyonga watu.. Magar,ndege,tren, pkpk na n.k
Check Taft znavyopoteza watu..aisee if u think positively u will see how the world is crazy...
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
muacheHutishwi! Unalazimishwa kusema.
Ikiwa utatishwa,shukuru mungu wako sababu anakupenda sana.
Hivi,ukifinywa pumb.u na plaiz hutaongea?
Ukichomekwa sindando kwenye kucha ikazama yote hutaongea?
Ukipitishiwa mshale wa kibiriti unao waka kwenye kichwa cha mbo.o hutaongea?
Ukikatwa kidole kimoja kimoja utakaa kimya?
Weweeeeeee





maana anajifanya roboti wakati akikanyaga mwiba anaruka
Wakikumaliza kabsa inakua sio mateso inakua ni mauaji,,ila hii ni kukutesa ili utesekeHayo mateso ni makali mno na afadhali wakumalize kabisaa mara moja kuliko mateso ya hivyo...
Pamoja na kuumizwa na kuvurugwa kisaikolojia lakini wengi picha tumelielewa kabla hata hajaongea na waandishi na tulijua hawezi ongea la maana ile ilikuwa danganya toto tuu!!!!
Ukiwa ni mtu usiye na falsafa ni hatari sana katika ulimwengu wa kiroho, ni rahisi kuikosa ata mbingu sababu tu ya kukosa falsafa yako.
Kuikana nafsi yako kwa kuutetea uhai wako ni sawa na kumkana Mungu, chukua mfano wa Yesu Kristo na watakatifu wote duniani (kwa kanisa katoliki).
Ukisoma historia ya wafia dini, wengi walikuwa imara katika kulinda imani yao(falsafa) yao hadi kufa.
Kwangu binafsi mtu anayesema eti nitatishiwa kwa mateso nisiseme kitu kwangu ni uongo mkubwa sana, siwezi kufanya upuuzi lazima niseme kila kitu.
Ushujaa sio kubeba mimba maana ni asili ya mwanamke kuzaa,,ila hapa unaharibia kila idara ya mwili,hisia na cchte kile.. Angalia we mwenyewe kujipiga pcha ya utupu tu simu ikikupotea unachanganyikiwa,,sasa hapa unalegezwa kila kiungo,,unalawitiwa na kurekodiwa halafu mkanda wa rekod hyo wanao wao,,unaingiziwa chakula kwa njia ya tigo,unawekwa kwenye chumba cha giza ambacho usiku au mchana haujulikani na umefungwa miguu na mikono unakula kama mbwa,huku kucha zinatolewa kila siku moja moja,au chumba maji yanakufika mdomoni,,we acha kabsa suala la mimba,,mimba ukizaa tu uchungu wote kwishaaa,,umeshaona mama anaezaa anaomba kuuliwa afie mbali,,lakin kwenye chumba cha mateso utatamani uuliwe.. Ogopa sana kuuliwa taratibu huku ukishuhudia unavyouliwa. Ndio maana wanazaa hata watto kumi na tatu na wanafurahiaHakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Nilikujibu post lakn ukatoka povu la kuniambia idiots... So ww ingeanza kutafakar kabla ya kuniita idiotsMbna unaongelea vitu out of topic,
Tusiharibu uzi, brother let's end here
Inawezekana katika hali hiyo ukafanya tahajudi?Na kwa wengine wasiojua tahajudi je
Nilikujibu post lakn ukatoka povu la kuniambia idiots... So ww ingeanza kutafakar kabla ya kuniita idiots
Okay.. Shukran mkuu..kutokua na common ground zctupelekee kuitana idiots... But peace and loveSorry mkuu kama nimekukwaza