Vyumba vya mateso

Vyumba vya mateso

Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
 
Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Siogopi mateso naogopa mateso ya uonevu
 
Hakuna mateso ya halali yote ni uonevu kumtesa mtu kwa hali yeyote ni uonevu, be strong mzee kipind unateswa si unafanya tahajudi ya kutoka nje ya mwili au huwez apply hapo?
Na kwa wengine wasiojua tahajudi je
 
Yaani wakati nikisoma maelezo yako na kuangalia picha mwili ulikufa ganzi kama ndio Mimi nateswa, taafif mungu atuepushe.
 
View attachment 494009chagizo lisilohitaji kuwaza sana : jiulize kwanini Nape alizuiwa kwa mtutu wa bastola asifanye press conference lakini Roma akakubaliwa? Hifadhi Jibu lako kwa matumizi ya baadae
Ushauri wa bure! Usijaribu kamwe kumdhihaki mtu aliyetekwa kisha kwa muujiza tuu akaachiwa huru na watekaji wake.... Mateka wengi hupotea moja na moja
Dhana za kuteka zina viasili vingi lakini vinavyojulikana sana ni
Kwa nia ya kupata kipato
Kwa nia yake kutimiziwa mambo fulani
Kutishwa
Kulazimishwa kusema jambo fulani
Visasi
Kuzibwa mdomo
Masilahi ya kisiasa View attachment 494010kati ya hivyo viasili hapo vibaya sana ni vile vya Kulazimishwa useme jambo fulani, visasi na mambo ya kisiasa,,, achana kabisa na huu mziki
Kule ndani kule (anapokaa chatu) kuna vyumba maalum vya mateso... Na kuna professional watesaji...hawa ni binadamu wasio na roho ya huruma... Hawa kiasili ni watu wenye roho ngumu na mbaya na huandaliwa na kupewa mafunzo maalum... Mafunzo ya kukutesa na kukuumiza ndani kwa ndani
Hawa ni watu wenye akili ya umeme wa phase moja, hawatafakari chochote, wao ni watu wa kupokea amri na kutekeleza... Basi... Wakiambiwa tesa wanatesa! Wakiambiwa chinja wala hawawazi mara mbili... Hawana fikra za familia yako ndugu zako nknk View attachment 494011 Usijifanye eti wewe hutaongea ama kubishana nao... Unajidanganya... Wana mbinu za kikatili hasa za kukufanya ulainike kabisa
Unaifahamu waterboard? Kuna mateso mabaya na ya kikatili huko.... Ukiona mtu karuhusiwa kufanya press conference lakini anababaika Sana na kujichanganya mno.... Usimlaumu, usimdhihaki kukutaka na makubwa View attachment 494012View attachment 494013View attachment 494014
Mpaka ameshindwa kuchana mistari mchezo...mchizi ameomba poo ngoma isimame.....I know remember a polite advise from one of my seniors. ..usithubutu kucheza na dola
 
Kuna moja nilishawahi msikia eti south africa wanaitumia, wanakuingiza kwenye chumba kina siafu wamenata kwenye kuta zote za chumba kama kimepakwa rangi ila wametulia tuli!
Issue sasa ukiingizwa humo ndio wanachachamaaa.....
Niliogopa kweli
 
Back
Top Bottom