Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Duh! Aisee nifahamishe uliposomea.Mimi napenda nikutese wewe
Duh! Aisee nifahamishe uliposomea.Mimi napenda nikutese wewe
SudanDuh! Aisee nifahamishe uliposomea.
Inaniuma sana tunapozungumzia kupotea kwa Ben kama kupotea kwa majini ya chai jikoni.
Ila binafsi nafsi yangu haikubali kuwa amededi ila yupo sehemu kahifadhiwa tu, nafikia hapa nikumbukapo matukio ya Ulimboka na Absalum Kibanda.
Raia hatuna amani ila watu maarufu hawana amani zaidi
Sifa za kujiunga na hicho chuo! aisee!!Sudan
Mpaka uwe katika mazingira kuwa torturer ( mtesaji) ndio utapaswa kujua sifa zao..Sifa zake aisee!!
Mimi napenda nikutese wewe

Moja ya watu waliokuwa wanawafanyia mateso makubwa watu wao alikuwwa ADOLF HITLER na BENNITO MUSSSOLIN. Na walikuwa pia vionozi wa dola zao. ILIPOFIKA Zamu yao,,Hitler aliamua kujiua. Mwisho wa siku wote tunakufa. Watesaji ni waoga wakubwa sana...............ukiweza kuwapata wao wanalia kama watoto.Mpaka ameshindwa kuchana mistari mchezo...mchizi ameomba poo ngoma isimame.....I know remember a polite advise from one of my seniors. ..usithubutu kucheza na dola
Nakumbuka huyo dem alikuwa nchini Iraq, ni askari wa Marekani, ingekuwa mimi ndio hao mateka ningekuwa nishampiga dushe

Samahani wajameni natoka nje ya mada.. Hivi huyu baba mwenye nyumba anafuata dhehebu gani? maana namuona kwenye makanisa tofauti
Michelle usenge wa kumsema rais aliyeko madarakani. Hamuoni mnahatarisha usalama wa nchi?Nchi haina furaha. Tuko jirani zaidi na mateso, kutekwa na kuumizwa .
Neema_ furaha na amani vimegeuka bidhaa adimu .
MACHO YANACHEKA, MOYO UNALIA
kama alitekwa basi kafumuliwa marinda haiwezekani aseme kateswa sana halafu jeraha la kujiuma tu mdomoniKumbe inawezekana roma hakutekwa.
kaaaaaaaaaz kwel kwel.
Duuuh mpka mwili unasisimka lazima useme tyuHutishwi! Unalazimishwa kusema.
Ikiwa utatishwa,shukuru mungu wako sababu anakupenda sana.
Hivi,ukifinywa pumb.u na plaiz hutaongea?
Ukichomekwa sindando kwenye kucha ikazama yote hutaongea?
Ukipitishiwa mshale wa kibiriti unao waka kwenye kichwa cha mbo.o hutaongea?
Ukikatwa kidole kimoja kimoja utakaa kimya?
Weweeeeeee
Ukweli kuhusu roma anaujua mwenyewe roms wengine tunapapasa papasa tu.
Japo hoja zingine ukitafakari zinajenga mantiki kichwani.
Sipendi kuihusisha na siasa ila nashauri tu tume huru iundwe ili kuchunguza zaid..
Mimi mwanakitongoji huwa najiridhisha na kile nilichoshudia na kufanyia uchunguzi.
Asante mshana jr
Tusilale tukitegemea uchunguzi wa akina upelelezi nao niwatu kama sisi.
