Vyumba vya mateso

Vyumba vya mateso

cffab21d7cd5ce0aa4b9ec036f542496.jpg

b2b648a3e1167514fb763fdac3e2914e.jpg
Hatari
 
Vyumba vya mateso vinatisha. Lakini katika dini tunafahamishwa kuwa kutakuwa na mateso zaidi ya hayo na kutakuwa hakuna kufa ni mateso tuuuu. Mfano
Na sema: “Hii ni haki kutoka kwa Rabb wenu. Basi anayetaka aamini, na anayetaka akufuru.” Hakika Sisi Tumewaandalia madhalimu moto ambao kuta zake zitawazunguka. Na wakiomba uokozi watapewa maji kama masazo ya zebaki nyeusi ziliyoyeyushwa yanayobabua nyuso. Ubaya ulioje kinywaji hicho, na uovu ulioje mahali pa kupumzikia.
 
Sawa na jehanam ama kuzimu na dhana nzima ya hungry ghosts... Naona hili jambo lipo kila mahali tunatofautiana lugha tuu
 
Back
Top Bottom