Kamwe hatotueleza kilichomkumba kinaga ubaga
Mkuu hadi nimezishika baada ya kusoma komenti hii. Wengine wanafinya kwenye kichwa cha mboo. Hapo lazima uongee kila kitu.Ila mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani
Ndo hivyo, nasikia wengi wanachukuliwaga kwenye camp za watoto yatima.hatari sana aisee kwa hiyo wanawawahi wakiwa wadogo?
asante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
Kujiua siyo rahisi. Ukiweza ni kujigeuza bubu kwa kuukata ulimi kwa meno yako kisha unawatemea kipande. Hapo ama watakuachia ama watakumaliza.Katika ivyo vyumba vya mateso hakuna option ya kujiua? Maana naona kuliko kuvumilia haya yote ni bora kufa
Niliwahi kuambiwa kwamba wazee wa Alkaeda kule gwantanamo hawakusema pamoja na kupitia hayo yote. Sijui kuna mafunzo walipewa kabla?Waterboarding, mateso mabaya sana hayo. Utasema kila kitu.
Weeee.Niliwahi kuambiwa kwamba wazee wa Alkaeda kule gwantanamo hawakusema pamoja na kupitia hayo yote. Sijui kuna mafunzo walipewa kabla?
asante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
Kumbe inawezekana roma hakutekwa.Asante kwa ushauri
Cheke hata zikibanwa na chupi tu ni sheeda.lazima uiset upya chupi yako.Aseeee mkuu hadi mwili umesisimka
Mpk JPM atoke madarakani..........Nchi haina furaha. Tuko jirani zaidi na mateso, kutekwa na kuumizwa .
Neema_ furaha na amani vimegeuka bidhaa adimu .
MACHO YANACHEKA, MOYO UNALIA
Mkuu ukiona tu vifaa vya kufinyia kende n sheeda.lazima zirud ndani....Mkuu hadi nimezishika baada ya kusoma komenti hii. Wengine wanafinya kwenye kichwa cha ****. Hapo lazima uongee kila kitu.
Duniani kuna watu na mijituAaamen.... Ben just know that GOD IS WATCHING.....
Iyo wotabodin ndo ikojeWATERBOARDING IS THE SHITTEST OF ALL!!
Kuna mateso yanayotokana na uhalisia wa maisha ambayo tunatakiwa kuyavumilia,vile vile kuna mateso ya kuonewa ambayo ndiyo tunayapinga,kitabu hicho hicho kilicho agiza UVUMILIVU ndiyo hicho hicho kimeagiza KIASIHakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Kwa hyo unaona bora uliwe jichoIla mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani