Vyumba vya mateso

Vyumba vya mateso

Wengi hapa mnaogopa sana kuteswa

Je mnaweza kuiilinda nchi yenu mbele ya maadui

Je unaweza kuiilinda familia yako ipone ili we ufe

Huu uzi nilitegemea niwaone wanawake tu wakilia km kawaida yao

But for men, huu ni utani

Bahat nzur wiki hii YESU KRISTO wiki hii anaenda kupita mateso makali pale msalabani

Hebu fikria kijana Yesu na umri wake chini ya miaka 35

Alisimamia kile anachokiamini na alifikia malengo

Leo hii Yesu ndiye mtu maarufu Zaid duniani pengine na kwingne tuskokujua

. Yesu angeamua kuingia mitin leo hii angewekwa kundi moja na Yuda msalit

Kupitia Yesu huwa napata ujasiri uliopitiliza, leo hii wazee kwa vijana wanalitaja jina la Yesu

Fikria tu Mandela Unafikiri alipitia mateso gani

That nigger Martin Luther pale USA unafkr hakujua madhara atakayoyapata for condemning civil rights

Tusitiane uoga, naamini humu weng ni vijana, sasa sisi tukiwa waoga watoto wetu tutawafundisha nini?

Nina rafik yangu wa kiisraeli kwenye Mtandao huwa ananipa Challenge hadi nachoka, and he is only 23

We live once, thamani yako sio kuogopa kufa,.... Thamani yako ni kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuish
Toa mchongo wako hata ukifa familia, nchi, dunia ikukumbuke hata ukifa chini ya watu wabaya
 
Kusadikika nn..., Yesu n mungu.. N mwanadam yup awezaye kuifanya Dunia kuwa mahal salama... Bullshit Israel Hao ndo wachafuz wakuu wa Dunia yetu..

So wakat unaandika jaribu kushirikisha ubongo wako...hakuna mwanadam anaetaka kuifanya Dunia iwe sehem salama..kama n hivyo kusingekua na chemical weapons... Think big bro
 
Idiots

Kwahiyo unataka kusema Roma hakutekwa bali alikuwa baa anakunywa hebu uwe na uwezo wakufikiria hata kidogo
nimesema sina uhakika kama alitekwa ama la. acha kunilisha maneno
 
Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Kauli kama hizi ndizo tunazosema mtu ameropoka.
 
Mshana nimekuelewa Nilijua ni yale Mambo yetu tuuu
 
kwanini waterboarding ina target katikati ya paji la uso. eneo la third eye.
 
Hakuna mateso ya halali yote ni uonevu kumtesa mtu kwa hali yeyote ni uonevu, be strong mzee kipind unateswa si unafanya tahajudi ya kutoka nje ya mwili au huwez apply hapo?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
 
Siwez kukuijibu sababu umeonesha ujinga wako hadharan
Najua utaona n ujinga kwa sababu ya mawazo ya watu weng kama ww...

Mfano hiv Sasa tuna bishana hapa yawezekana tungekua shamban tunalima...

Unafkr kuish kwenye maghorofa ndo tumefanya sehem salama...?

Leo hii USA ama Russia wakiamua within 1min. Dunia yote inapotea.. Je hyo ndo sehem salama uliyoitaka..

Check magonjwa yaliyotengenezwa na wanadam, mfano HIV, malaria,kansa, kisukar,na mengneyo meng...

Check moving objects znavyonyonga watu.. Magar,ndege,tren, pkpk na n.k

Check Taft znavyopoteza watu..aisee if u think positively u will see how the world is crazy...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom