Vyumba vya mateso

Vyumba vya mateso

Kuna moja nilishawahi msikia eti south africa wanaitumia, wanakuingiza kwenye chumba kina siafu wamenata kwenye kuta zote za chumba kama kimepakwa rangi ila wametulia tuli!
Issue sasa ukiingizwa humo ndio wanachachamaaa.....
Niliogopa kweli
Hahaaaaaa
 
Usikute hata wamefanyiwa mchezo mbaya maana kuwa mateka yasiyo julikana huwa ni mbaya na lengo la utekaji huwa sio zuri hata Siku moja usikute wamewatoa hata marinda kabisa masikini wa mungu!
 
asante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
True kabisa,hii fani mm mwnywe sinuungi mkono..kwny magic ndo kunamfaa hku na siasa hna mashkko
 
Ila mimi naogopa sana utesaji wa kufinywa Korodani
Na kuna hii ya sindano
torture_chamber_by_liquitine.jpg
ama hii
cfile10.uf.27597E4053C26BD5309974.png
 
Ukiwa na mtu usiye na falsafa ni hatari sana katika ulimwengu wa kiroho, ni rahisi kuikosa ata mbingu sababu tu ya kukosa falsafa yako.

Kuikana nafsi yako kwa kuutetea uhai wako no sawa na kumkana Mungu, chukua mfano wa Yesu Kristo na watakatifu wore duniani (kwa kanisa katoliki).

Ukisoma history ya wafia dini, wengi walikuwa imara katika kulinda imani yao(falsafa) yao hadi kufa.

Kwangu binafsi mtu anayesema eti nitatishiwa kwa mateso nisiseme kitu kwangu no uongo mkubwa sana.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hutishwi! Unalazimishwa kusema.
Ikiwa utatishwa,shukuru mungu wako sababu anakupenda sana.

Hivi,ukifinywa pumb.u na plaiz hutaongea?

Ukichomekwa sindando kwenye kucha ikazama yote hutaongea?

Ukipitishiwa mshale wa kibiriti unao waka kwenye kichwa cha mbo.o hutaongea?

Ukikatwa kidole kimoja kimoja utakaa kimya?

Weweeeeeee
 
Back
Top Bottom