Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
Mkuu itabidi uzoee, kuna baadhi ya nchi hasa za magharibi ukienda ni nadra kupata public toilet ya kuchuchumaa na hata Nigeria Lagos na Abuja sikuwani kupata public toilet za kuchuchumaa mpaka nilikuwa naenda kwenye mghahawa ndo nilizipata.
 
Kweli inabidi nijiandae kisaikolojiaa
 
Mlipuko wa maji kuruka..🙄🙄😀😀😀...
 
Haahaha magonjwa njee njeee
Uzuri wa vyoo hivi vya kukaa ni kuwa vikisafishwa vizuri haviwezi kukuambukiza magonjwa ,vimetengenezwa kwa ustad wa juu ni (antibacteria) ule u-smooth wake hautoi nafasi kwa bacteria kuweza ku- survive
 
Weee nani kakwambia??? Unaona ule weupe unakudanganya??? Yani kitendo cha kukalia pale alipokaa mwenzako tayari possibility ya kuambikizwa ugongwa hata wa ngozi ni rahisii
 
Ndio maana nimekwambia vikisafishwa mkuu!!Trust me ingekuwa vinamaambukizi kirahisi hivyo wasingeruhusu public toilets ziwe za kukaa ,tafiti zikifanyika ikaonekana ni safe
 
Haya mkuu Ila huwa sifeel comfortable kabisaa...!! Vile vyoo achaa niwe mshambaaa...
 
Vile vyoo vinafaa kwa dharula tu mtu mgonjwa na matatizo yatakayokufanya ushindwe kuchutama kwa uhakika.

Nivyoo ambavyo siwezi kuvitumia kabisa nakua hovyo sana nikikutana na hayo makitu.
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.

Mungu akikuweka mpaka miaka ile utavipenda. Kwenye umri mkubwa kuchuchumaa ni issue. Wasio na vya ivyo wanaingia chooni na kiti chenye tundu kati.

Ugonjwa wa magoti, wenye ulemavu n.k wanapata afadhali na vyoo vya kukaa.
 
Ukitumia ile slope yanagandia gandia... biashara ya kuanza kuyasafisha tena mmmmmh... cha maana weka pepa then onyesha ujuzi wa kulenga...😀😀😀
poa mkuu kwaheri
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.

MADHARA YA KUKAA WAKATI WAKUJISAIDIA HAJA KUBWA.

1. KUPATWA NA UGONJWA WA BAWASIRI : Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na
nnje ya sehemu ya haja kubwa kutokana na mishipa kubanwa kwa mda mrefu na kinyesi ambacho mara nyingi hua ni matokeo ya kutomaliza haja au kubana kwenda mapema haja madhara yake wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kusababisha kutoka kinyama au uvimbe
ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu unaitwa HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles soma zaidi hapa kuhusu bawasiri

2. SARATANI YA UTUMBO MPANA: Mtu mwenye bawasiri mara nyingi hua kwenye hatari ya kupatwa na saratani ya utumbo mpana japoa sababu nyingine hua ni kurundikana kwa kinyesi mda mrefu jambo ambalo husababisha kinyesi icho kugeuka sumu na hivo kusababisha madhara kwenye utumbo mpana madhara haya yanaweza kukua mpaka kua saratani endapo hayatatafutiwa tiba haraka.soma zaidi juu ya saratani ya utumbo mkubwa

3. KUPATA SHIDA YA HAJA NDOGO KWA WANAWAKE: Maumbile ya mwanamke yameumbwa kufanya kazi vizuri wakati akiwa kwenye mkao wa kuchuchumaa wakati wa haja zote mbii choo cha kukaa uleta madhara yale yale yakukosa kukojoa mkojo wote na hvo inaweza sababisha madhara kwenye kibofu cha mkojo

4. KUKOSA CHOO: Mtu anaetumia choo cha kukaa mara nyingi hua hamalizi haja na mlundikano wa haja ufanya kinyesi kua kigumu na kupelekea mtu kupata choo kigumu atakapojisadia wakati mwingine

5. MAGONJWA YA NGOZI:Vyoo vya kukaa huweza kuambukiza magonjwa ya ngozi kwenye makalio endapo vitatumiaka sehemu za umma ambako kusimamia usafi wa vyoo hivyo hua nni kazi ngumu.
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.

MADHARA YA VYOO VYA KUKAA YANAPATIKANA VIPI?

Mtu anapokaa misuli yake inayoshikiria kihifadhi kinyesi hua imebana nusu kwahiyo kuzuia tendo la kuondoa kinyesi chote
kama picha ya kwanza inavoonyesha, mtu anapokua amechuchumaa misuli yake hua inakua imeachia kabisa hivo kuruhusu
kinyesi kutoka kwa wepesi zaidi na kutoka chote.

Baada ya mmeng'enyo wa chakula chakula upita kwenye utumbo mdogo ambapo ufyonzwa na kuingia kwenye mfumo wa damu,chakula ambacho hakipati nafasi ya kufyonzwa uendelea na safari mpaka kwenye utumbo mkubwa ambako uko maji na madini ufyonzwa na kuingizwa kwenye mfumo wa damu, chakula hiki kinachobaki kikiwa na kias kidogo cha maji upelekwa kwenye kihifadhi kinyesi kwa jina la kimombo rectum na hapo kihifadhi kinyesi kinapojaa basi mtu ujisikia kubanwa na haja.

Hii yote ni bado haijaeleza madhara yanatokea vipi vya matumizi ya vyoo vya kukaa na haya ndo majibu ya jinsi gani madhara yanamfika mtu. Mtu anapokaa kwenye choo njia yake ya kihifadhi kinyesi hua imebanwa kiasi kwa hiyo hua hatoi kinyesi chote wakati wa kujisadia hali hii uchangiwa kutokujikunja vya kutosha na kuweka presha kwenye mfuko huo.

Kwa hali hii misuli inayoshikiria kihifadhi kinyesi kua imelegezwa nusu tu ya jinsi inavotakiwa iwe imelegezwa. Lakini mtu anapochuchumaa, hukunja eneo hili kwa nyuzi za kutosha kuruhusu misuli (sphincter muscles) hiyo kulegea vya kutosha na kurahisisha kinyesi chote kutoka nje na hivo kukidhi haja nzima.
 
Back
Top Bottom