Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

hahahahaaaaaa,umeshafuta zile video kwny simu yako mkuu???sisi huku mpanda na wale jamaa zangu wa longalombogo kule simiyu hatujaambiwa kufuta
Hahaha yani sahivi watasema hadi tufute nyimbo za singeli
 
Vitu vidogo vinaonyesha level ya exposure ya mtu.
Ukienda Ulaya, utakunya wapi? Hakuna Asian toilets popote.
Duh nitapanda juuu tu kama walivyoshauri wakuu hapa
 
Au ongea na mwny nyumba akubadilishie sink km unapapenda. Sijui kwann watu huwa wanawaza kuwa hiyo misink ndo usasa shiiiit!!!
Hawezi fanya hicho kitu na pia sipapendi sana
 
Pole mkuu.

Kwa avatar yako tu unaonesha unashushaga mzigo mzito haswa mpaka umekupindisha sura.
1541139793336.png
1541139793336.png 1541139793336.png 1541139793336.png 1541139793336.png 1541139793336.png 1541139793336.png
 
Hahaha yani sahivi watasema hadi tufute nyimbo za singeli
hahahahaaaaaa,kufikia jumatano wananchi wote kwny mkoa wangu mfute nyimbo za kwaito kwny simu zenu,sitaki upuuzi,hahahaaaaa
 
Vyoo vya kuchuchumaa mnatawadha vipi ? Mimi napata shida sana inanilazimu kuvua nguo zote kwanza
 
Kiukweli vyoo vya kukaa vinataka utumie ww tu labda na mkeo.. Ila havifai kwa public use..!! Vinataka usafi wa hali ya juu juu kabisa..!!
 
kweli zitamsaidia kuzuia huo mlipuko wa maji anaosema au atumie ile slope ya choo kutelezesha mzigo usitue kwa kishindo

Ukitumia ile slope yanagandia gandia... biashara ya kuanza kuyasafisha tena mmmmmh... cha maana weka pepa then onyesha ujuzi wa kulenga...😀😀😀
 
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
 
Back
Top Bottom