Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Hao CIA na FBI badala ya kulialia na kumlalamikia Trump wanapaswa kijieleza kwa wamarekani walikua wapi kipindi hayo yote yanatokea.
Maana wamewezeshwa na kupewa kila kitu ili kuilinda Marekani matokeo yake wanakuja kufanyiwa madhara na nchi wanayoizidi kwenye bajeti ya kila kitu na kuifanya marekani ionekane kama vile Kubwa Jinga tu huku Russia akionekana Dogo Janja.
CIA na FBI ni watuhumiwa, wasitafute pa kujifichia.