Mkuu, sleeper agent wa design gani? Je, kama Hillary angeshinda uchaguzi wangeleta ujinga wao huu - wataalamu wa mawasiliano ya kimtandao wanajua si rahisi kudukua mafaili/info kwenye machines zilizo unganishwa kwenye intranet (ndani kwa ndani) mambo ya security concern yanaongezeka exponentially unapo jiunga kwenye cloud/Internet - yaani Wamerika pamoja na taaluma yao ya hali ya juu katika masuala ya security kwenye mitandao wangeweza kuwa so sloppy wakashindwa ku plug loopholes ambazo ma hackers wangezitumia kudukua au kudoctor mafaili/data muhimu - awasemi ukweli, in other words wasitafute visingizio vya kulauumu Mataifa mengine baada ya mteule wao kukataliwa na wapiga kura, wanaona aibu ndiyo inawafanya washikwe kiwewe na kuanza kumlaumu Putin kwa kila kitu as if Marekani ni mbumbumbu(Dunia ya tatu) katika masuala ya tekinilojia ya kimtandao, waongo kweli kweli hawa.
Ndiyo maana Trump yuko confident anapo wajibu kwamba taarifa zao za kiupelelezi niza kizushi tu hawana ushahidi wowote wa maana zaidi ya ku misqoute/misintepret newsreel za Russia Today, inasikitisha kuona Wakuu wa vitengo vya kijasusi Nchini Merikani wana behaving like toddlers mbele ya kadamunasi mmoja wao (one Claper) anajulikana kwa ulaghai wake wa siku nyingi - is a pathological liar par excellence!!
Luckily enough Trump is extremly intelligent and hardworking like all German descendants, awezi kukubali kuwa bulldozed na mijitu misanii tu yenye agenda za siri za kuendeleza utawala wa ruling class (Establishment) - wapiga kura wa Kimerikani have had enough ya kundi hili ndiyo maana wakahamua kufanya mapinduzi ya kimya kimya kwa kupitia sanduku la kura.