Vyombo vya Ujasusi vyamshtukia Trump!

Vyombo vya Ujasusi vyamshtukia Trump!

Mkuu data zako si sawa.
Waamerika ASILI ni Waamerika wekundu!
Wengine wote 100% ni UZAO wa WAHAMIAJI!!!

Mkuu nakushauri soma vizuri nilicho andika, wapi nimezungumza kuhusu Wahindi Wekundu?

Tangu lini neno percentage (Asilimia) likamaanisha ASILI? Kwa kukumbushia nimesema kwamba katika historia ya siasa nchini Merikani asilimia kubwa ya Marais wana origin ya kutoka nchi moja tu ya Ulaya i.e Bara la Ulaya lina nchi nyingi bila ya kusahau Uingereza ambayo ni kisiwa, nikaongeza kusema cha ajabu population ya kundi hilo hazidi 26% ya raia wote wa Marekani kwa maneno mengine 74% ya raia wa Merikani wana asili ya Ulaya magharibi na mashariki, Mashariki ya kati na mbali, Africa na wahindi wekundu (ambao ni natives wa huko huko Merikani).

Mimi nazungumzia hao wanao compose asilimia 26% tu ya raia wote wa Merikani.
 
Mkuu nimekupata sasa. Sikuwa nimekuelewa!
Samahani.
 
Unajua ni kwa nini haiwezekani vyombo hivyo havitaweza kumfanyia vibaya?
Wakuu wote wa CIA NSA

Mkuu nakuelewa sana. ISIPOKUWA itakuwa ni VIGUMU sana kwa vyombo hivyo kufanya lolote.
Kwanza idara hizi SI ZA KISIASA wao hufanyia kazi taifa lao na RAIS ALIYEKO SASA. Hawana UCHAMA kama sisi Africa.

Pili hapo zamani idara zote kama CIA, NSA, FBI na zingine zilikuwa kila moja INAJITEGEMEA na zilikuwa ZINASHINDANA.
Hata ndani ya CIA ilikuwa ni tabu tupu.
Nani ni MBABE kuliko mwingine.
Directorate of Information na Directorate of Science and Technology nao ni kuvutana na Kushindana na mwishowe ikawagharimu MADHARA makubwa ya 9/11.
Na hiyo ikabidi rais Bush kubadilisha na KUSUKA UPYA namna ya KURAHISISHA kushughulikia HARAKA habari za intelijensia na kuweka cheo cha DNI Director of National Intelligence ambaye ndiye BOSS wa vitengo vyote!

Baada ya haya mashirika YOTE kukusanya na kuzishughulikia anapewa DNI.
Baadaye YEYE mkurugenzi ndo ANAMWAMBIA rais yale yamfaayo kusikia/Briefings.
TOFAUTI na zamani ambako KILA kitengo kingetoa kila mtu na ripoti yake ILI AONEKANE na RAIS kuwa ni BORA sana kuliko mwingine.

Na Trump anakuja na WATU wake kwa kila kitengo. Hivyo yuko SALAMA salimini.!
Mkuu pamoja san
 
Hapo ndipo jeuri ya TRUMP ilipo.Inawezekana ameona system ya usalama ya marekani iko weak kwenye utawala wake labda atatumia security system ya kirusi kwa rafiki yake putin.

Inawezekana Trump alikuwa recruit wa russia kwa miaka nenda rudi akiandaliwa kuwa raisi wa marekani.Utajiri alionao waweza kuwa sio wake ni mali za warusi yeye ni agent tu na mshika mali za akina Putin na matajiri wa kirusi na shirika lao la ujasusi ndio maana anawang`onga wanausalama wa marekani
Hakuna kitu kama hicho trump kawekwa na system ya Us na wala si pandikizi la Urusi, mfano J. Kennedy walisema eti! ni mkomunisti wakati kipindi kile cha Cuban missile Crisis, muda mwengine maraisi huwa na mawenge ya madaraka.
 
Back
Top Bottom