Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Nahisi kuota ndoto kama ya Lema juu ya TrumpSiku zote watu wasiopenda kuambiwa ukweli ndio huwa wanashindwa kumwelewa Trump.
Nahisi kuota ndoto kama ya Lema juu ya TrumpSiku zote watu wasiopenda kuambiwa ukweli ndio huwa wanashindwa kumwelewa Trump.
Kwani baba yake hawezi kuwa alikuwa agent wa warusi akamrithisha mwanae?Utajiri wa trump ameachiwa na baba yake mzazi jaribu ata kugoogle uone jamani wabongo kusoma hamtaki mnataka mtunge vitu vyenu kishilawadu tu
Wa kupuuzwa ni hao intelligence community kwa kuwa udukuzi umefanyika wakiwa kazini.Joe Biden anesema sasa hivi kuwa Trump is "mindless" kwa kuipuuza Intelligence Community.
Mmmmmm nikuache na mawazo yako samahani mkuuuKwani baba yake hawezi kuwa alikuwa agent wa warusi akamrithisha mwanae?
Inawezekana kabisa Trump alikuwa a sleeper agent wa Urusi.Mmmmmm nikuache na mawazo yako samahani mkuuu
Kwenye kila system kuna loopholeKwani mpaka warusi wanadukua hao homeland security walikuwa wapi?
FBI walikuwa wanafanya nini?
Au CIA ndio iliwafungulia backdoor wadukuzi??
Ndg yangu usijidanganye sheria zipo ila linapokuja swala la powers za rais utastaajab ya afrika na amerika au ulaya.S
Siyo rahisi mkuu, kwa wenzetu kuvifumua vyombo hivyo ambavyo viko independent operationally ni kazi kubwa.
Mwenyewe Trump anasema hajawahi kishindwa. Ila serekali ya marekani na vyombo vyake vya usalama visimlaumu putin. Wajilaumu wao wenyewe kwa kushindwa kuzuia kudukuliwa.Trump akiingia madarakani atapashwa kufanya mabadiriko makubwa sana kwenye vyombo vya kijasusi nchini mwake/Merikani.
Yaani badala ya wao kujishughulisha na masuala ya usalama wao wanachanganya siasa na usalama especial kipindi hiki cha awamu ya mwisho ya Admin. ya Obama wamejidhalilisha sana kwa taarifa zao za kubuni tu na kutaka Mataifa yasielewane, kisa? Kipenzi chao Hillary kashindwa kuiingia Ikulu lazima wamuvurugie Trump ili apate wakati mgumu akiwa madarakani.
Kundi hili ovyo wanacho sahau ni kwamba Trump ni tajiri mkubwa for a reason - moja ikiwa ni business acumen pili ni kuona mbali na tatu ni jinsi ya ku-deal na washindani wake wawe wa kibiashara au kisiasa wote hao anawapa enough rope ili wajimalize wenyewe na hili ndilo limewakumba akina Obama, Hillary, McCaine, Bush Jeb na makamu wa Rais Joe Biden wote hao wamejaribu sana kumzima Trump na wote wakaishia kuangukia pua - hawajifunzi kitu bado tu wanaendelea kubuni mbinu nyingine za kijinga.
Matayatarisho huanza mapema sana,je yule rais aliyeisambaratisha USSR si alikua agent wa CIA?,unaweza tayarishwa zaidi ya miaka 20 kuja kua rais,wenzetu wanajua kucheza chessUtajiri wa trump ameachiwa na baba yake mzazi jaribu ata kugoogle uone jamani wabongo kusoma hamtaki mnataka mtunge vitu vyenu kishilawadu tu
Trump anawapuuza kwa sababu ni hao hao waliotoa intelingesia za uongo kuhusu Iraq na hivyo kuiingiza Marekani katika vita vya kijinga vilivyochukuwa fedha nyingi sana.Joe Biden anesema sasa hivi kuwa Trump is "mindless" kwa kuipuuza Intelligence Community.
Yes rais gorberchev aliandaliwa muda mrefu kwa kazi moja tu kuiporomosha urusi sio ajabu Hata TRUMP akawa aliandaliwa na urusiMatayatarisho huanza mapema sana,je yule rais aliyeisambaratisha USSR si alikua agent wa CIA?,unaweza tayarishwa zaidi ya miaka 20 kuja kua rais,wenzetu wanajua kucheza chess