Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,703
- 72,521
HahahaHii ni nchi ya kiqumer sana
HahahaHii ni nchi ya kiqumer sana
Sikuskia hata jina vizuri basi tuNI kimbwa manunu mkuu sio Manura🤣🤣🤣
Acha uwivuTukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea?
Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini.
View attachment 2943309
HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA!
✍️Mjanja M1