Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

nilitaka kushangaa mzee wa sum asimtetee dr slaa, yeye na wenzake 4 wanalipwa kwa kumwangamiza Zitto kisiasa na wako ladhi ata kumwondolea maisha yake. huo kikwetu tunakufananisha na SHOGA.

Heeee wewe Mbaba usituchonganishie viongozi wetu.

Hao wa kwenu mnaowatetea kila leo hapa mnalipwa?

Dr. ni wetu na Zitto ni wetu ongelea viongozi wako.
 
Hivi kweli wewe kama mwenyekiti wa kamati mpaka sasa bado umeshindwa kumjua mtu wa kunyooshewa kidole?
Mimi nilidhani PAC ingedili na ofisi ya msajili kuhakikisha CAG anakagua ruzuku za vyama.

Bahati mbaya sana mwenyekiti unajawa na kiburi kama siyo kujiondoa ufahamu mpaka unakurupuka eti ruzuku za vyama zisimamishwe!

Do u really deserve that position mkuu?

Well, natambua mchango wako kwa maendeleo ya siasa ya nchi hii, lakini jiangalie kama mwenyekiti wa kamati na kama mbunge, the ball is still in your court, angalia usije ukajifunga

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mimi huwa sitafuti mtu wa kumnyooshea kidole. Huwa natafuta majawabu ya changamoto. Jawabu la tatizo la vyama kutofanyiwa audit limepatikana.
Wewe unaetafuta wa kumnyooshea kidole endelea kumtafuta. Kwa upande wangu hili limekwisha na sasa tunasonga mbele kutafuta majawabu mengine.
 
Sijui kwa nini mashabiki wa vyama hawataki kuona ukweli kwamba tumekuwa tunadanganywa. Vyama vilisema mahesabu yao yanakaguliwa, wengine wakafikia kutaja hata Mkaguzi, na wengine kusema wamepeleka kwa Msajili mahesabu yaliyokaguliwa! Sasa ni dhairi hakuna chama kilicho safi. Mashabiki wanageuza kuwa suala la kisiasa na kuanza kutupiana maneno ya kejeli... Mimi nafikiri huu ni ushindi, lakini hawakupaswa kupewa muda mrefu huo.

Mkuu siyo kwamba tunadanganywa, bali serikali ndiyo haikuweka utaratibu wa vyama kukaguliwa na CAG. Kama unakumbuka hata CAG aliwahi kusema serikali haijatenga bajeti ya kukagua hesabu za vyama na Zitto analifahamu. Pamoja na hayo vyama vilikuwa vinajikagua kwa utaratibu wa kumtafuta external auditor aliyethibitishwa na ofisi ya CAG. Lakini baadaye ofisi ya msajili ndiyo iliyotoa maelekezo kwamba vyama sasa wasitishe ukaguzi, badala yake watakaguliwa na CAG, ila wasubiri utaratibu wa gharama za ukaguzi. Zitto anayajua haya yote, lakini anakuja na misifa natuchanganya sisi na kamati yake. (ieleweke hapa kuwa simshambulii Zitto kama Mbunge na kiongozi wangu wa chama, bali kama mwenyekiti wa PAC)

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ninaposoma kauli kama za kina ben saanane ndo nashindwa alafu nachoka kabisa, bora tusiokuwa na chama kila mtu yupo chama flan kwa benefit zake. Ivi ben kunashida gani kaka yangu kama ni matatizo mkamalizana kwenye vikao vya chama. Badala ya kutoa maneno hadharana hadi watu wengine wasiojua kinachoendelea wajue. Tujifunze nin sasa sisi vijana wadogo ambao njie ndo kama viongozi wetu
 
Mkuu siyo kwamba tunadanganywa, bali serikali ndiyo haikuweka utaratibu wa vyama kukaguliwa na CAG. Kama unakumbuka hata CAG aliwahi kusema serikali haijatenga bajeti ya kukagua hesabu za vyama na Zitto analifahamu. Pamoja na hayo vyama vilikuwa vinajikagua kwa utaratibu wa kumtafuta external auditor aliyethibitishwa na ofisi ya CAG. Lakini baadaye ofisi ya msajili ndiyo iliyotoa maelekezo kwamba vyama sasa wasitishe ukaguzi, badala yake watakaguliwa na CAG, ila wasubiri utaratibu wa gharama za ukaguzi. Zitto anayajua haya yote, lakini anakuja na misifa natuchanganya sisi na kamati yake. (ieleweke hapa kuwa simshambulii Zitto kama Mbunge na kiongozi wangu wa chama, bali kama mwenyekiti wa PAC)

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea
 
Imefika mahali tujadili mambo bila kuweka vyama vyetu mbele,

CAG ndiye mwenye jukumu la ukaguzi na kimsingi amekwisha toa sababu za kushindwa kukagua ambayo ni kutopewa fungu la ukaguzi wa vyama vya siasa.

Binafsi nimemuunga mkono Zitto katika harakati za kuhakikisha ukaguzi unafanyika na ukweli unajulikana lakini wakati tunaunga mkono hili swala mwanzoni kabisa hapa hapa JF tukiamini ni swala jema kiuwajibikaji siku zinavyokwenda linaanza kuleta sura za kisiasa na hili ndio tatizo nchi hii.

Tatizo liko wazi na kimsingi CAG ametoa sababu na ilipaswa tujue hatua gani zichukuliwe kurekebisha huu udhaifu lakini naona kuna taswira inajengwa kutuhumu vyama hasa kuna chama kimelengwa very specific.

Lazima vyama vikaguliwe na CAG na tuache siasa kwenye mambo ya msingi maana tuna sheria na miongozo inayotosha kuongea na si kuanza kutuhumu tu na kuishia kuchanganya wananchi wasioelewa ukweli halisi.
Unataka uniambie unamuozesha binti halafu unakaa upande wa muoaji? Kwamba nyepesi anajua kilichopo CHADEMA na nia yake nikuua nguvu zinazoweza kutumiwa na chama tawala kujikusanyia nguvu kwa ajili ya uchaguzi ujao. Kwa mtizamo wangu inawezekana akauti ya CCM inatapika pesa hazitumiwi zinasubiri uchaguzi. Sizani kama hayo mabilioni yamekuwa utilized ipasavyo. Kama watu wanalipwa 20,000/=
 
Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea

Tatizo lako unajichanganya sana mkuu, unapofika kwenye audience unaangalia psychology ya watu badala ya facts. That is a big problem.

Wakati mwingine napata shida kuamini kwamba this is Zitto I know.

Well, tunachohitaji ni maendeleo siyo kukurupuka na mambo katikati ya mambo ya msingi yaliyopo mbele yetu.

It is my impression to say wewe umeleta hii hoja ya vyama vya siasa kukaguliwa ili kuhamisha mawazo ya watu kutoka kwenye katiba mpya, watu wasihoji vyama waliongea nini na rais nk.

Yote yana maslahi kwa taifa, lakini pia kwa hili la vyama kukaguliwa ulikuwa na njia nyingine ya kuwakilishwa kwa CAG bila kuwachanganya watu na kuhamisha mawazo yao kutoka kwenye katiba mpya.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea

Tatizo lako wewe ni kupenda sifa binafsi...Kiufupi ni mbinafsi.......Hauamini katika utendaji wa ki taasisi..unaamini katika umimi...Ingawa jambo la Ukaguzi lina manufaa kwa ujumla wake...lakini namna uliyotumia kua attack hata wale wasio kuwa na kosa ndiyo yenye tatizo...mbaya zaidi ni kwamba umejibinafsishia suala hilo...kwa lengo lile lile ...SIFA BINAFSI.
 
Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea

mkuu hapa kuna watu wamejiandaa/wameandaliwa maalumu kwa ajili ya kumshambulia Zitto haijalishi amefanya mema au mabaya
 
Last edited by a moderator:
Word,Zitto kabwe akaze kamba hawa chadema wanaajenda yao
Imefika mahali tujadili mambo bila kuweka vyama vyetu mbele,

CAG ndiye mwenye jukumu la ukaguzi na kimsingi amekwisha toa sababu za kushindwa kukagua ambayo ni kutopewa fungu la ukaguzi wa vyama vya siasa.

Binafsi nimemuunga mkono Zitto katika harakati za kuhakikisha ukaguzi unafanyika na ukweli unajulikana lakini wakati tunaunga mkono hili swala mwanzoni kabisa hapa hapa JF tukiamini ni swala jema kiuwajibikaji siku zinavyokwenda linaanza kuleta sura za kisiasa na hili ndio tatizo nchi hii.

Tatizo liko wazi na kimsingi CAG ametoa sababu na ilipaswa tujue hatua gani zichukuliwe kurekebisha huu udhaifu lakini naona kuna taswira inajengwa kutuhumu vyama hasa kuna chama kimelengwa very specific.

Lazima vyama vikaguliwe na CAG na tuache siasa kwenye mambo ya msingi maana tuna sheria na miongozo inayotosha kuongea na si kuanza kutuhumu tu na kuishia kuchanganya wananchi wasioelewa ukweli halisi.
 
Tatizo lako wewe ni kupenda sifa binafsi...Kiufupi ni mbinafsi.......Hauamini katika utendaji wa ki taasisi..unaamini katika umimi...Ingawa jambo la Ukaguzi lina manufaa kwa ujumla wake...lakini namna uliyotumia kua attack hata wale wasio kuwa na kosa ndiyo yenye tatizo...mbaya zaidi ni kwamba umejibinafsishia suala hilo...kwa lengo lile lile ...SIFA BINAFSI.
ulitaka amuite mama yako kuja kukagua mahesabu ya vyama?Zitto kaza kamba mkuu.
 
Pole sa pro chadema naona mnaiweka rehani nchi kwasababu zitto kawashika patamu
Tatizo lako unajichanganya sana mkuu, unapofika kwenye audience unaangalia psychology ya watu badala ya facts. That is a big problem.

Wakati mwingine napata shida kuamini kwamba this is Zitto I know.

Well, tunachohitaji ni maendeleo siyo kukurupuka na mambo katikati ya mambo ya msingi yaliyopo mbele yetu.

It is my impression to say wewe umeleta hii hoja ya vyama vya siasa kukaguliwa ili kuhamisha mawazo ya watu kutoka kwenye katiba mpya, watu wasihoji vyama waliongea nini na rais nk.

Yote yana maslahi kwa taifa, lakini pia kwa hili la vyama kukaguliwa ulikuwa na njia nyingine ya kuwakilishwa kwa CAG bila kuwachanganya watu na kuhamisha mawazo yao kutoka kwenye katiba mpya.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ben saanane mtu hatari sana,tindikali na sumu ndio rafiki yakr.
ninaposoma kauli kama za kina ben saanane ndo nashindwa alafu nachoka kabisa, bora tusiokuwa na chama kila mtu yupo chama flan kwa benefit zake. Ivi ben kunashida gani kaka yangu kama ni matatizo mkamalizana kwenye vikao vya chama. Badala ya kutoa maneno hadharana hadi watu wengine wasiojua kinachoendelea wajue. Tujifunze nin sasa sisi vijana wadogo ambao njie ndo kama viongozi wetu
 
Mwaka 2013 taarifa za kamati hazikusomwa. Sitashangaa kwamba watazuia tena

Kamanda Zitto nadhani huu ndio udhaifu wa kanuni zenu za bunge na pengine niseme huo ni mfano dhahiri kuonyesha kuwa bunge haliko huru kufanya kazi kwa maslahi ya umma wa Tanzania.

Spika wa bunge anawezaje kukalia au kuzuia ripoti muhimu sana kama hii kutosomwa bungeni.

Labda kamanda unifahamishe katika mazingira hayo ya spika kuzuia ripoti za kamati kusomwa bungeni ni hatua gani mnazoweza kuchukua ili kumlazimisha kuzipanga katika ratiba ya vikao vya bunge kama inavyotakiwa kuwa?
 
Du nyie F4F kweli mna kazi ya uelewa!
Kama huyu wala hajui kuwa CCM haikuwepo 1961!!!!

kwa taarifa yako kila nachoandika hapa najua mpk impact yake,sema kuna mda nafanya hivyo ili na ww upate cha kuchangia.....1961-Tanu-1964-chama cha machuma ulete
 
Ndugu yangu usihangaike na waliosilimu wanaotaka ku prove kuwa wamesilimu kweli kweli. Mimi nawapuuza watu wa namna hiyo maana wanatafuta attention tu na waonekane wapo against Zitto. Bila kufanya hivyo ataaminikaje?

Wamesilimu kutoka wapi? Na waliobaki huko ni akina nanai? By the way, nilidhani kwamba ukiwapuuza watu hautaguswa na kujadili wanachofanya/wanachojadili

Talking about being attention seeker............! Anyways,Niishie hapa for now.But,I won't stoop too low to trade words with you or any other person.

Najadili kuhusu taasisi ya PAC na matamshi ya viongozi wao ambayo ni contradictory na yenye hila binafsi zaidi kuliko msukumo wa hoja ya kamati in the spirit of collective responsbility,tuache persona vendetta!
 
Mimi napita tu jama,ila nasema hivi
Watz tumekua limbukeni wa siasa kiasi kwamba hatu-stick kwenye ukweli wa mambo,bali uongo wa kiushabiki wa itikadi zetu ndo tunu pekee tulio ichagua.
POLE TANZANIA YANGU
 
Back
Top Bottom