Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

Ninaposoma kauli kama za kina ben saanane ndo nashindwa alafu nachoka kabisa, bora tusiokuwa na chama kila mtu yupo chama flan kwa benefit zake. Ivi ben kunashida gani kaka yangu kama ni matatizo mkamalizana kwenye vikao vya chama. Badala ya kutoa maneno hadharana hadi watu wengine wasiojua kinachoendelea wajue. Tujifunze nin sasa sisi vijana wadogo ambao njie ndo kama viongozi wetu
Tujadili nini kwenye chama?PAC sio Idara ya CHADEMA wala sio kamati ndogo ya CHADEMA.Sasa tutajadili vipi hoja za PAC ndani ya Chama?Kauli za PAC na Viongozi wake na personal attack wanazofanya kwa CHADEMA na kukiuka misingi ya Kidemokrasia ni lazima zijibiwe swiftly.Mkurugenzi wa Fedha na utawala wa CHADEMA pia alijibu shutuma za PAC za kutaka kui-brand CHADEMA vibaya in public with malicious intention
 
kweli mkuu,nimekosea spelling.Nilimaanisha mwenyekiti wa PAC,Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom