Taswira
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 1,198
- 452
Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC imetoa tamko la kuridhia vyama kukamilisha taarifa za fedha na kukabidhi kwa CAG ifikapo Januari 2014.
Hii ni baada ya Kamati hiyo kukutana na msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi leo jijini Dar es Salaam.
Pia kamati hiyo imemtaka msajili wa vyama kuendelea kuvipatia Ruzuku vyama hivyo.
Source:Mwananchi Breaking News
MODS Uongo kama huu ni hatari kwa Jf.PAC imeagiza CAG ahakikishea anavikagua vyama kufikia january 2014 akikabidhiri ripoti ya ukaguzi wa PAC na sio huu upotoshaji wa MOLEMO.
Mnaweza kuwasiliana na zitto akawambia ukweli na sio huu uongo wa vijana wa bukutatu wa chadema