Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

Hakuna muda vyama wamepewa. PAC imeagiza ukaguzi maalumu wa miaka 4 na uwe umekamilika ifikapo january 2014. Vyama vimeagizwa kupeleka taarifa kwa CAG na CAG ameagizwa awe ameleta taarifa PAC ifikapo January 2014.
Kumbukeni CAG anatoa taarifa yake kila mwezi machi na PAC inatoa taarifa yake bungeni kila mwezi February. Lengo ni kuwa na taarifa ya ukaguzi maalumu kabla ya taarifa hizo.
Hili jambo la kisheria tusiligeuze la kisiasa.
Imedhihirika vyama havijakaguliwa. Sasa imeamuliwa vikaguliwe na fedha PAC imeagiza zitoke wapi. Tumepiga mstari, zama za vyama kuokoteza wakaguzi mtaani zimekiwisha na lengo la fedha za umma kukaguliwa na CAG limetimia. Mshindi mtanzania na kodi zake

Hadi hapo tunaelekea kukata mzizi wa fitna. Labda ningependa kujua hatia zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya vyama au chama kitakachopata hati chafu au hati yenye mashaka baada ya hii special audit kukamilika.
Labda PIA ningependa kujua ni kwakiasi Gani ofisi ya CAG iko bold enough kuwaambia watanzania ukweli iwapo chama cha ccm kitakutwa na madudu ya utimiaji wa ruzuku? Kwakuwa kwa vyama vya upinzani vikipatikana na madudu sina shaka kuwa CAG hatoshindwa kuwalipua.
 
Mkuu MTAZAMO umesema kweli tupu......
Naona watu wengi tunaliangalia hili suala kiushabiki zaidi...(Kama Simba na Yanga vile) haka ka tabia ka double Standard katakuja kutugharimu sana kama taifa. Inakuwa haina maana kama watu tunataka upande Fulani tu uwe msafi wakati kwetu ni pachafu. Cha Msingi sharia ifuatwe bila kupindishwa!!! kitendo tu cha vyama kuongezewa muda mpaka Januari Mwakani kinatia shaka....
Hakuna chama kimeongezewa muda. January ni taarifa kukabidhiwa kwa PAC. Taarifa ya ukaguzi wa CAG kwa vyama kwa miaka 4.
 
Hadi hapo tunaelekea kukata mzizi wa fitna. Labda ningependa kujua hatia zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya vyama au chama kitakachopata hati chafu au hati yenye mashaka baada ya hii special audit kukamilika.
Labda PIA ningependa kujua ni kwakiasi Gani ofisi ya CAG iko bold enough kuwaambia watanzania ukweli iwapo chama cha ccm kitakutwa na madudu ya utimiaji wa ruzuku? Kwakuwa kwa vyama vya upinzani vikipatikana na madudu sina shaka kuwa CAG hatoshindwa kuwalipua.

Hatua zipo kwenye sheria. Kwanza special audit itafanywa na one of the big five. Pili PAC itaiweka wazi kwa umma kwa kuisoma bungeni
 
PAC inatimiza wajibu wake wa kuhakikisha fedha za umma zinakaguliwa. Agizo la kusitisha ruzuku lilitolewa na kamati wala halikuwa agizo la mtu binafsi ndio maana lilikwenda kwa maandishi. Msajili kaiomba kamati kwa maandishi kuwapa vyama muda wa kujirekebisha ili hesabu zao zikaguliwe. Kwa vyovyote vile kusitisha ruzuku kungeumiza sana CCM na nashangaa sana kuona vya upinzani vinashabikia jambo hili.
PAC Leo imeamua vyama vyote kupeleka mahesabu yao kwa CAG yakaguliwe. Hivyo ni dhahiri hayakuwa yanakaguliwa. Hakuna haja ya kulambana kwani tayari tumepata uthibitisho kwamba hesabu hazijakaguliwa na sasa zitakaguliwa.
Kuhusu fedha za kukaguq PAC imeagiza hazina watoe fedha za ukaguzi huo maalumu wa kuanzia 2009/2010, 2010/2011 na 2012/2013.
Mimi binafsi sina maslahi binafsi ya zoezi hili. Napenda tu kuona kuwa fedha za umma zinakaguliwa. Sasa zitakaguliwa na kumaliza tatizo.
Wenye kutaka kuonyesha wameshinda ni juu yao. Muhimu ni kwamba kuanzia sasa fedha za umma zitakaguliwa na CAG kama matakwa ya sheria yanavyotaka. Ni ushindi kwa watanzania wenye fedha zao.
Mkuu Zitto, watanzania tunalo tatizo la kushindwa kumtofautisha Zitto mwenyekiti wa PAC na Zitto naibu katibu mkuu wa CDM. Hata hivyo,tumesikia pia kuwa CAG aliagiza vyama vitafute wakaguzi wa nje (External Auditors) kwa gharama za vyama, sijui hili lina ukweli kiasi gani. Vinginevyo nikutake usikatishwe tamaa na waliopofushwa na ushabiki wa vyama. Simamia haki.
 
Nashukuru sana.
Tumefika mahala tulipotaka kwamba CAG akague mahesabu ya vyama. Kulikuwa na visingizio vingi sana. Sasa tumepata suluhisho. Itoshe kusema no more business as usual. All parties are now subjected to CAG audit.
 
Hatua zipo kwenye sheria. Kwanza special audit itafanywa na one of the big five. Pili PAC itaiweka wazi kwa umma kwa kuisoma bungeni

Yes nilitamani iwe hivyo kwani Big five wana standard zao (nje ya IFRS,IPSAs e.t.c ) hivyo hawayumbi kirahisi kwasababu za kisiasa.
 
Hatua zipo kwenye sheria. Kwanza special audit itafanywa na one of the big five. Pili PAC itaiweka wazi kwa umma kwa kuisoma bungeni
Nilidhani ungetusaidia kwa kutidokolea kwa uchache sheria inatoa adhabu gani lakini naona umerudisha mpira kwangu.

Anyway ngoja niitafute hiyo sheria wakati tukilisubiri bunge la Feb.2014,ingawa sina uhakika kama spika wa bunge mama Makinda atawapa nafasi ya kuosoma bungeni ili watanzania wote tujue kilichomo katika hiyo ripoti. Tutaendelea kuwa na matumaini kwamba hakuna kitu kitakachofichwa.
 
Mwaka 2013 taarifa za kamati hazikusomwa. Sitashangaa kwamba watazuia tena
 
Matumizi ya ruzuku yamepangwa kisheria. Yamo ndani ya sheria ya vyama vya siasa. Ndio maana lazima CAG akague. Sasa tumekata mzizi wa fitina.
Kuhusu walosema wamekguliwa namnukuu Msajili hapa chini
Kauli ya Mutungi

Akitoa ufafanuzi kuhusu ruzuku alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa jana, Jaji Mutungi alisema suala hilo halitakiwi kuchukulikwa kisiasa, kusisitiza kuwa ni wajibu wa kila chama kukaguliwa kwa maelezo kuwa ruzuku ni fedha za serikali zinazotokana na kodi ya wananchi.

“Hakuna hata chama kimoja cha siasa ambacho hesabu zake zimekaguliwa na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kama yapo nileteeni” alisema Jaji Mutungi, kauli ambayo haikupingwa na viongozi wote wa vyama hivyo.

Jaji Mutungi alisema licha ya kuwa Mwenyekiti wa Pac, Zitto Kabwe alimtaka kusitisha ruzuku ya vyama hivyo hadi vitakapowasilisha taarifa za ukaguzi, hawezi kutekeleza agizo hilo mpaka atakapozungumza na vyama husika na kujua sababu za kushindwa kuwasilisha taarifa hizo.

Asante kwa hili basi kuna kiongozi ali nukuliwa na vyombo vya habari akisema vyama havipangiwi matumizi ya ruzuku.

lakini tunaona kuna vyama wana nunua na kutengeneza matishet,khanga, kofia je haya yote wanapangiwa? pia swala mishahara ya viongozi kwenye vyama na wafanyakazi wake na hayo yote wanapangiwa jinsi ya kufanya malipo mh Zitto.

daa nimesikitishwa na uongo wa viongozi wetu, lakini naamini mambo yatakwenda sawa na ni vyema kuangalia hichi kiasi chote kinacho pelekwa kwenye vyama.
 
Last edited by a moderator:

Hili tamko linanishawishi niseme kwa bahati mbaya kuwa Zitto hayuko makini na maneno yake.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
PAC inatimiza wajibu wake wa kuhakikisha fedha za umma zinakaguliwa. Agizo la kusitisha ruzuku lilitolewa na kamati wala halikuwa agizo la mtu binafsi ndio maana lilikwenda kwa maandishi. Msajili kaiomba kamati kwa maandishi kuwapa vyama muda wa kujirekebisha ili hesabu zao zikaguliwe. Kwa vyovyote vile kusitisha ruzuku kungeumiza sana CCM na nashangaa sana kuona vya upinzani vinashabikia jambo hili.
PAC Leo imeamua vyama vyote kupeleka mahesabu yao kwa CAG yakaguliwe. Hivyo ni dhahiri hayakuwa yanakaguliwa. Hakuna haja ya kulambana kwani tayari tumepata uthibitisho kwamba hesabu hazijakaguliwa na sasa zitakaguliwa.
Kuhusu fedha za kukaguq PAC imeagiza hazina watoe fedha za ukaguzi huo maalumu wa kuanzia 2009/2010, 2010/2011 na 2012/2013.
Mimi binafsi sina maslahi binafsi ya zoezi hili. Napenda tu kuona kuwa fedha za umma zinakaguliwa. Sasa zitakaguliwa na kumaliza tatizo.
Wenye kutaka kuonyesha wameshinda ni juu yao. Muhimu ni kwamba kuanzia sasa fedha za umma zitakaguliwa na CAG kama matakwa ya sheria yanavyotaka. Ni ushindi kwa watanzania wenye fedha zao.

Sijui kwa nini mashabiki wa vyama hawataki kuona ukweli kwamba tumekuwa tunadanganywa. Vyama vilisema mahesabu yao yanakaguliwa, wengine wakafikia kutaja hata Mkaguzi, na wengine kusema wamepeleka kwa Msajili mahesabu yaliyokaguliwa! Sasa ni dhairi hakuna chama kilicho safi. Mashabiki wanageuza kuwa suala la kisiasa na kuanza kutupiana maneno ya kejeli... Mimi nafikiri huu ni ushindi, lakini hawakupaswa kupewa muda mrefu huo.
 
Hongera zito wewe nikiongozi adim katika nchi iliyo jaa mafisadi kila sehem.

Wengine wanajitaidi kutaka kuiba roho za watu kwa SUMU
 
Mkuu FJM Nadhani kamati imefanya hivi kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu siku ile tulimsikia Zitto akisema ameamuru kuzuiliwa Ruzuku kwa vyama vyote!

Nadhani hapa Zitto alikosea na kamati yote kuonekana inakurupuka bila kufuata sheria.

Hii tabia ya kusema alikosea siyo haki mkuu?
Zitto alijawa na kiburi cha umimi na upuuzi ikamfanya akurupuke kama kohozi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ngoja buku7 waje na boss wao hapa,maana yule hana dogo anaweza itisha press tena na kutoa tamko kuwa ccm ishamaliza mahesabu yote ya toka 1961-2014
Du nyie F4F kweli mna kazi ya uelewa!
Kama huyu wala hajui kuwa CCM haikuwepo 1961!!!!
 
Kauli ya Mutungi

Akitoa ufafanuzi kuhusu ruzuku alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa jana, Jaji Mutungi alisema suala hilo halitakiwi kuchukulikwa kisiasa, kusisitiza kuwa ni wajibu wa kila chama kukaguliwa kwa maelezo kuwa ruzuku ni fedha za serikali zinazotokana na kodi ya wananchi.

“Hakuna hata chama kimoja cha siasa ambacho hesabu zake zimekaguliwa na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kama yapo nileteeni” alisema Jaji Mutungi, kauli ambayo haikupingwa na viongozi wote wa vyama hivyo.

Jaji Mutungi alisema licha ya kuwa Mwenyekiti wa Pac, Zitto Kabwe alimtaka kusitisha ruzuku ya vyama hivyo hadi vitakapowasilisha taarifa za ukaguzi, hawezi kutekeleza agizo hilo mpaka atakapozungumza na vyama husika na kujua sababu za kushindwa kuwasilisha taarifa hizo.

Hivi kweli wewe kama mwenyekiti wa kamati mpaka sasa bado umeshindwa kumjua mtu wa kunyooshewa kidole?
Mimi nilidhani PAC ingedili na ofisi ya msajili kuhakikisha CAG anakagua ruzuku za vyama.

Bahati mbaya sana mwenyekiti unajawa na kiburi kama siyo kujiondoa ufahamu mpaka unakurupuka eti ruzuku za vyama zisimamishwe!

Do u really deserve that position mkuu?

Well, natambua mchango wako kwa maendeleo ya siasa ya nchi hii, lakini jiangalie kama mwenyekiti wa kamati na kama mbunge, the ball is still in your court, angalia usije ukajifunga

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
PAC inatimiza wajibu wake wa kuhakikisha fedha za umma zinakaguliwa. Agizo la kusitisha ruzuku lilitolewa na kamati wala halikuwa agizo la mtu binafsi ndio maana lilikwenda kwa maandishi. Msajili kaiomba kamati kwa maandishi kuwapa vyama muda wa kujirekebisha ili hesabu zao zikaguliwe. Kwa vyovyote vile kusitisha ruzuku kungeumiza sana CCM na nashangaa sana kuona vya upinzani vinashabikia jambo hili.
PAC Leo imeamua vyama vyote kupeleka mahesabu yao kwa CAG yakaguliwe. Hivyo ni dhahiri hayakuwa yanakaguliwa. Hakuna haja ya kulambana kwani tayari tumepata uthibitisho kwamba hesabu hazijakaguliwa na sasa zitakaguliwa.
Kuhusu fedha za kukaguq PAC imeagiza hazina watoe fedha za ukaguzi huo maalumu wa kuanzia 2009/2010, 2010/2011 na 2012/2013.
Mimi binafsi sina maslahi binafsi ya zoezi hili. Napenda tu kuona kuwa fedha za umma zinakaguliwa. Sasa zitakaguliwa na kumaliza tatizo.
Wenye kutaka kuonyesha wameshinda ni juu yao. Muhimu ni kwamba kuanzia sasa fedha za umma zitakaguliwa na CAG kama matakwa ya sheria yanavyotaka. Ni ushindi kwa watanzania wenye fedha zao.
Bila kumungu'unya maneno, umefanya kazi nzuri.
 
Zitto aendeleze kazi yake ya Mahesabu sahii ya vyama vyote, siasa tuziweke pembeni kwani pesa hizi ni za watanzania zinapotumika vibaya watu wakajifaidisha kwa mgongo wa vyama wananchi ndio tunaumia. Big up ZZK
 
Back
Top Bottom