Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC imetoa tamko la kuridhia vyama kukamilisha taarifa za fedha na kukabidhi kwa CAG ifikapo Januari 2014.
Hii ni baada ya Kamati hiyo kukutana na msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi leo jijini Dar es Salaam.
Pia kamati hiyo imemtaka msajili wa vyama kuendelea kuvipatia Ruzuku vyama hivyo.
Source:Mwananchi Breaking News