Kapinga
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 727
- 18
In principle hakuna ubaya kwa watu kushiriki katika mchakato wa siasa wa nyumbani kutoka ughaibuni, ningependa kuona hata kura tunaenda kupiga ubalozini na kwenye consulate zetu mbali mbali.
Lakini kinachoendelea sasa hivi ni kama members walivyosema hapo juu.Matawi haya yanaonekana kuwa ni "dili la ulaji" tu. Ukifuatilia kinachoendelea jumuiya ya CCM London sasa hivi ni aibu tupu.
As stated, I am not entirely against the idea of having these branches, but I would like to see them run in a more politically savvy way and taking a bigger socio-economic role.I frankly see a bigger role to be played by non-partisan Tanzania development associations zitakazosaidia kutuma hela nyumbani, kufanya biashara na nyumbani, kusaidia wakati wa misiba na sherehe nk kuliko haya mambo ya kushabikia vyama, hususan kwa chama kilichokuwa established kama CCM.
The way things are going now mimi naona wana promote idling, embezzlement na division tu.
I think division is wot's gonna happen here..watanzania tukikutana huwa tuna umoja sana na tukiongea siasa tunajadili na kuwa wazi kwa matatizo ya nyumbani bila kujali nani ni nani nyumbani..sasa limekuja hili group ambalo kama ni viziwi..propaganda kibao..they end up making a fool of themselves and the tanzanian community as a whole..untill they give us legitimate reasons to why they are doing this..i will personally keep on critising (keep in mind mimi sio CUF, SIO CHADEMA SIO NCCR..mzalendo tuu)..im jus shocked at how some of our brothers and sisters (ambao wamepata bahati ya kuwa nje kujionea systems of accountability na kuona tanzania from a different angle) but they are still so ignorant of the situation back home utafikiri hawana ndugu vijijini wanaotaabika..inauma sana!
Je kwa kufungua haya matawi wanatuambia tulio huku kwamba wamefurahishwa na yanayotokea nyumbani chini ya uongozi wa CCM??