Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,919
- Thread starter
- #41
Mzee Es you are missing my point na kuna wachache kama Mkandara wananipata taratibu mtanielewa kwa nini nimeleta maswali magumu hapa badala ya kwente maoni magazetini.Wekeni pembeni u CCM wenu watanzania si wamoja tena kuanzia kwenye Umoja hata kwenye maisha kwa kiwa Majaliwa Sharif hana kazi kaamua kuleta u CCM kula ki aina na wenye pesa zao UK kutumia ujanja wa kuupata uongozi nk . CCM ni chaka la kila aina ya uozo kujificha lakini hili nina waachia mimi nataka kujua uhalali wa CCM kuwa na matawi wakiwa Cham tawala . Majaliwa naomba useme tawi lenu limefuata katiba yenu at the same time natafuta na nitakuja na majib juu ya sheria ya UK inasemaje kwa Malecela kufungua tawi rasmi UK . Ingalikuwa ni club nisingalikuwa na shida . UK wanadhani wako na speed sana lakini wanatugawa sisi Watanzania . Influency ya mume wa balozi hata kama balozi kateuliwa na Mwenyekiti wa CCM lakini wakati wa Uteuzi mwenyekiti ni Rais wa Tanzania na si CCM .
Bado nangoja msaada wa anuani ya Reading jamani . Kuliwa pesa ama kutokuliwa mtajua tu maama CCM UK ni moto ngojeeni mtayasikia maana wote wale ni wajanja . Kwanza Majaliwa Sharif akiwa Tanzania alikuwa nafanya kazi gani ? Maana tuangalie na credibility yake na kila kitu maana amaemua kuja kweney public domain.
Swala la Majaliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM hata JK alilipinga na alimweleza wazi wazi wakati anaondoka kuelekea Norway ama Nchi za Scandinavia . Alielezwa kwa utani but the message was clear ila akaamua ku ignore . Mama balozi alimweleza mumewe pia kwamba achana na matawi kuna wenyeji waachie hawa uta complicate mambo hapa na kazi yangu kama balozi lakini jama kichwa ngumu kaendelea . Tuendelee kuleta habari .