Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

Status
Not open for further replies.

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
HUKUMU YA ZITTO:

Kwa sasa bado hukumu haijaanza kusikilizwa lakini kuna vurugu nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kati ya kikundi cha Zitto na kile kinachompinga ambavyo vinarushiana mawe na polisi wanajaribu kukabiliana nao!
 
hakuna uwezekano wa picha?
 
hii chadema inaenda wapi sasa?
maneno ya wasira yanaenda kuonekana
 
Wawaache wafundishane, inawezekana kweli mikutano yao huwa wanajivuruga wao kwa wao.
Mkuu, hii inathibitisha kuwa vurugu zilizokuwa zinazuka wakati wa maandamano yao ni tabia ya CHADEMA asilia
 
ni utoto kwa wafuasi wa pande zote mbili kuleta fujo ndani ya viunga vya mahakama,ni utoto wa hali ya juu
 
hawa magamba wameandaa mamruki ili kuonesha Zzt anawashabiki et! Mungu daima husimama upande wa Haki.
 
Kumbe vurugu za mikutano yao wanazianzishaga wenyewe. Now nimeelewa.
Nahamia CUF rasmi
 
bora jaji ahahirishe kesi tu maana hali ya usala nadhani imekuwa ndogo sana kuliko watu walivyo tegemea
 
hukumu ya zitto: Kwa sasa bado
hukumu haijaanza kusikilizwa lakini kuna
vurugu nje ya mahakama kuu kanda ya
dar es salaam kati ya kikundi cha zitto na
kile kinachompinga ambavyo vinarushiana
mawe na polisi wanajaribu kukabiliana nao!

it is sounding healthier
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom