Afu we ufaidi nini, mkuu shugulika na mambo muhimu
Hukumu inatolewa ndani na wao wanatwangana nje. Waache watwangane tu
Hukumu inatolewa ndani na wao wanatwangana nje. Waache watwangane tu
Zitto acha kupeleka watu wa kukodi maakamani haitokusaidia kitu unatafuta huruma kwa kukodi wafanya fujo imeshakula kwako mazima
Dah kweli aiseeNi kweli kabisa, unajua sisi uzuri wetu tumehalalisha "sembe" vitu vilivyopimwa toka bara asia, bara america. Kwakweli tumejipanga kuwapa vijana wetu sembe safi
hii chadema inaenda wapi sasa?
Maneno ya wasira yanaenda kuonekana
Wanajua kuwa wakitulia Zitto atashinda kwa kishindo. Wanaanzisha fujo ili wawe na sababuhaina ht haja ya kurushiana mawe
bora wangetulia tu
Pole sana mkuu.
Mkuu, Zitto ni mtu makini na msipomwangukia, chama chenu kinakufa mwaka huukomaa kamanda, zitto hana ishu yule natukisha mchomoa tutakuwa imara zaidi,mi nipo vijijini nazidi kuwavua magamba wananzengo
Nakuja kusikiliza hiyo hukumu....!!!
haina ht haja ya kurushiana mawe
bora wangetulia tu