Hukumu inatolewa ndani na wao wanatwangana nje. Waache watwangane tuSasa mahakama ikicheza kutaka rusha hii hukumu wataleta maafa
Pole sana dada. Utaumia sana kushabikia hiki chama cha misukule
kazi ipo kwanini hakimu asiwatumie hiyo hukumu kwenye email zao tu?
Pole sana dada. Utaumia sana kushabikia hiki chama cha misukule
Sema tu kati ya Wazalendo wanaomuunga mkono Zitto Kabwe na wahuni walionunuliwa na viongozi wa CHADEMA
Sema tu kati ya Wazalendo wanaomuunga mkono Zitto Kabwe na wahuni walionunuliwa na viongozi wa CHADEMA
Hapo hakuna cha Tanzania. Ni chama cha wanywa gongo?Dah,,,, tz yetu inakwanda wapi???.
HUKUMU YA ZITTO:
Kwa sasa bado hukumu haijaanza kusikilizwa lakini kuna vurugu nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kati ya kikundi cha Zitto na kile kinachompinga ambavyo vinarushiana mawe na polisi wanajaribu kukabiliana nao!
Hapo hakuna cha Tanzania. Ni chama cha wanywa gongo?
wewe hujitambui ndio sababu
Pole sana dada. Utaumia sana kushabikia hiki chama cha misukule
Pole sana dada. Utaumia sana kushabikia hiki chama cha misukule