Tehetehetehe. Huwezi kutegemea chama kikahalalisha gongo halafu wafuasi wake wakawa na ustaarabu kama wa wafuasi wa CCM
Ni kweli kabisa, unajua sisi uzuri wetu tumehalalisha "sembe" vitu vilivyopimwa toka bara asia, bara america. Kwakweli tumejipanga kuwapa vijana wetu sembe safi