Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Walinzi wa mahakama wakae chonjo. Hawa jamaa hawachelewagi kujilipua wenyewe halafumwanasingizia askari wenye uniform
 
kazi ya ccm hiyo kuvuruga kila mahali chadema tumeshashinda hizo vurugu mnapoteza muda wenu bureeee
 
Habari ni nini wanapigania wakati hukumu bado haijasomwa?! Vinginevyo ni marupeni kama wanaopigana wakati wowote, popote bila sabababu yoyote! Ndio maana sipendi kitu kinachoitwa ushabiki, iwe wa siasa au michezo.
 
Kumbe vurugu za mikutano yao wanazianzishaga wenyewe. Now nimeelewa.
Nahamia CUF rasmi

mbona unajichanganya inamaana ulikuwa chadema halafu unahamia cuf wakati unasema vurugu zao inamaana hukua huko. Kweli maluki ni wengi.
 
Watakuwa wamepita makao makuu wakakaribishwa viroba vikawachngamsha akili. Hukumu ikisomwa watabadilishana vichwa bila ganzi
 
Sasa mahakama ikicheza kutaka rusha hii hukumu wataleta maafa
 
Habari ni nini wanapigania wakati hukumu bado haijasomwa?! Vinginevyo ni marupeni kama wanaopigana wakati wowote, popote bila sabababu yoyote! Ndio maana sipendi kitu kinachoitwa ushabiki, iwe wa siasa au michezo.

wewe hujitambui ndio sababu
 
Joyce Kiria afunguka
Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,

Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.

Kama Kiongozi ameshindwa kutunza Uaminifu kwa Mke wake, (familia moja) atawezaje kwa jamii (familia lukuki) kama Kiongozi ameiumiza familia yake ya watu wachache, atashindwa vipi kuwaumiza watanzania wengi asiowajua....

Unapomuumiza Mke wako aliyekuzalia Watoto, kwa kutoka nje ya Ndoa, tena Ukazaa huko!! wewe huna tofauti na Mafisadi wengine...

Hufai Kuwa Kiongozi hata wa Nyumba 10....
B
Huo ndo msimamo wangu mimi Joyce Kiria..... Tokeni povu lakini hamnisumbui ng'o... Ukweli daima nitasema ili niepuke Unafiki na Uzandiki niwe Huru....
 
Watakuwa wamepita makao makuu wakakaribishwa viroba vikawachngamsha akili. Hukumu ikisomwa watabadilishana vichwa bila ganzi
Tehetehetehe. Huwezi kutegemea chama kikahalalisha gongo halafu wafuasi wake wakawa na ustaarabu kama wa wafuasi wa CCM
 
Waulizeni hao wanaoandamana hawana kazi ya kufanya waondoe umaskini wa familia zao?
 
Watoto na ndugu zao wanakufa njaa....wao wanashinda mtaani kushabikia upuuzi! kwani mahakama itatoa hukumu kwa kuangalia nani kampiga mwenzie! waache ujinga ,warudi makwao wawaache wahusika na waandishi wa habari watoe taarifa! Waache ujinga, nchi hii inatuhitaji sana tuijenge kwa kufanya kazi na sio kushabikia upuuzi na ufisadi! OVER......!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom