Vurugu zazuka Kanisani la KKKT Dayosisi ya Konde Mbeya, Ibada yavunjika, Polisi wakamata viongozi

Hofu ya Mungu imekua kizungumkuti kwenye kizazi chetu kila kukicha wahuni wanazidi kuingia makanisani kwa kigezo cha udini
Sipingi nguvu ya pesa lakini maisha ni zaidi ya pesa tukiwa na mtazamo huu si Dhani kama hayo mambo yataendelea kutokea

Inasikitisha sana ,badala ya kuwa mfano mzuri unageuka mfano mbaya. Kwa jamii

Hawa ndio manazidi kufukuza watu makanisani kwasababu ya tamaa zao binafsi.
 
Kanisani ukienda ni kukaa karibu na mlango ukiona dalili zinaanza uwahi kuondoka
 
Mimi naona Askofu Mkuu Shoo chanzo cha haya yote. Alidhani anatibu, kumbe anaharibu kila kitu.
 
Hili ni moja ya madhehebu ya hovyo sana.Viongozi wa kiroho mnapigana? Tena mbele ya waumini? Cha kushangaza bado kuna waumini waaendelea kwenda
Hakuna kisichokuwa na changamoto,katoliki yenyewe ilivyo strong ilishakumbwa na migogoro ya ndan ndo ikapelekea kuanzishwa kwa lutheran,Anglican na orthodox,migogoro haiwezi kukosekana katika jamii ambayo kila mtu ana namna yake yakufikiri na kutenda cha muhimu nikuomba hekima kuweza kuondoa migogoro iliyopo kwa njia ambazo ni nzuri na hazitaleta uharibifu au utengano
 
Kwenye ukristo kumbe wapo na wenye misimamo mikali kweli tunaangamia law kukosa maarifa
Aluta continue,,,,,
 
Back
Top Bottom