Mgogoro unafukuta KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Hai mjini

Jul 30, 2018
13
12
MGOGORO unafukuta katika Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Hai mjini baada ya Baraza la Usharika kuwasimamisha viongozi wake watatu kwa madai ya kuvamia na kuvuruga kikao cha uongozi Usharika na Waimbaji.

Baadhi ya Viongozi wanaotajwa kusimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Uamsho Ndeakomfoo Shoo, Mweka Hazina Clotilda Massawe na Katibu wa Uamsho Joseph Robert ambao wote kwa pamoja wamekwisha pokea barua ya kusimamishwa iliyosainiwa na Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Hai mjini na Kugonjwa Muhuri wa kanisa.

Hai .jpg
 
Kiongozi wa kanisa ni mchungaji. Washarika wote wanapaswa kufuata miongozo inayotolewa na yeye, wasiotaka wahame!
 
Mtu ana mke na watoto eti ni askofu. Lazima kuwe na kugombania mali maana huyu mtu hana tofauti na mimi. Lazima atafute kesho ya watoot wake.
Unataka asiwe na Mke ilihali ni Rijali, unataka awe shoga kama atakavyo Papa?
 
It does not matter, hata wenye wake wanaweza kuwa mashoga. Uelewa wako mdogo wa tamko la Papa unakupeleka kwenye such a silly conclusion!
 
Mtu ana mke na watoto eti ni askofu. Lazima kuwe na kugombania mali maana huyu mtu hana tofauti na mimi. Lazima atafute kesho ya watoot wake.
Kwanini asiwe sawa sawa na wewe?
Hivi wewe hujui viongozi wa dini ni watu wa kawaida sana tena wenye madhaifu mengi kupita waumini wao au wasio waumini wao?
 
Mh! context ya andiko langu hujaijua. hawa wameo, wana wake, watoto ambao wanahitaji kuhudumiwa na may be kutithishwa in case askofu akifa. sasa ataachaje kugombea mali ?
 
MGOGORO unafukuta katika Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Hai mjini baada ya Baraza la Usharika kuwasimamisha viongozi wake watatu kwa madai ya kuvamia na kuvuruga kikao cha uongozi Usharika na Waimbaji.

Baadhi ya Viongozi wanaotajwa kusimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Uamsho Ndeakomfoo Shoo, Mweka Hazina Clotilda Massawe na Katibu wa Uamsho Joseph Robert ambao wote kwa pamoja wamekwisha pokea barua ya kusimamishwa iliyosainiwa na Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Hai mjini na Kugonjwa Muhuri wa kanisa.

View attachment 2891682
Malizaneni huko....kitu kidogo sana usharika ? Malizaneni huko.....msituchoshe....yaani jimbo kadkazini kuna shatika zaidi 50 plus....moja tu itusumbue ....malizaneni
 
Back
Top Bottom