Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Status
Not open for further replies.
Ni kama vile jumamosi na jumapili imefanywa mazoea ya kupumzika kuwa ni sheria.

Una matatizo ya akili, wewe ijumaa unaruhusiwa kwenda kuswali hakuna anayekufata nyuma eti apumzike, wengine wanaruhusiwa jumamosi wakasali wewe badala ukafanye kazi unapumzika na wale wa jumapili unapumzika nani kakuzuia usiende kazini. Ubongo wako haupo sawasawa.
 
jamani wadau hivi kipindi cha BEN MKAPA mambo haya yalikuwepo?..kipindi cha J.K NYERERE yalikuwepo? Tunakumbuka kipindi cha mzee ruksa bucha za nguruwe pale dar walizivamia..Mwenye uchungu na watu wake na nchi akakemea kwa dhati bila kumumunya maneno..J.K uko wapi? katiba inasemaje juu ya swala la uchinjaji?..wazili wako WASILA ameshindwa kusuluhisha badala yake anasuluhishia kwenye MEDIA..teh
 
Hii ni Idea ya uislamu kwa dunia nzima, mwislamu hana rafiki mwema, na akikosa wa kugombana naye humalizia hasira wenyewe kwa wenyewe, duniani hii bila uislamu ingekuwa mahali pa usalama ni kama mtawala wa Byzantine Empire alivyomlaumu waziwazi mtume kuanzisha dini ya kutumia upanga na haya ndiyo matokeo ya kizazi chake kisichopenda suluhu kuanzia Chechniya,Philipie.Iraq ,somalia,Mali,Nothern Nigeria etc.
 
Hakuna haja ya kufanya vurugu. Sheria ya nchi chini ya Katiba iliyopo sasa inamruhusu kila Mtanzania kuchinja, awe Muislam, Mkristo, Dini Asilia, Bahai...wote ruksa! Hao wanaofanya vurugu inabidi wachukuliwe hatua kwa kuvunja sheria za nchi.

Hapo ndipo unafki wa KIKWETE ulipofikia kwani hii ilikuwa rahisi sana, ni kama mwinyi alivyo fanya miaka ile. Ni swala kusema tu RUKSA kila mtu RUKSA kuchinja na kula chochote atakacho, Bila kuvunja sheria za Nchi maana asija mtu akachinja Mtu.
 
Jaman nakanguruwe kangu naombeni mnitafutie shekh aje anichinjie!!!!!
Nguruwe hachinjwi bali hupigwa na kitu kizito tu, kwahiyo nakushauri fanya hivyo (tafuta nyundo mpige kichwani)
 
Tazama kwa makini ndugu usilete ushabiki akichinja muislam mkristo kwake halal, akichinja mkiristo muislam kwake haraam, kwann wasichinje waislam ili haya yaishe
 
Mtu kaamua kuchinja mfugo wake ale mwenyewe ina wahusu nini, kwani lazima waje kununua kwenu, nyie ni nani hata mlazimishe wengine wale mlivyochinja nyie, msomee aya zenu wengine wale hata wao wana aya zao wanataka wasome wachinje.
Chinjeni kuleni wenyewe na wao wachinje wale wenyewe. Kwa nini tulazimishane imani.
 
Mimi ni mkristo, lakini katika hili nadhani Wakristo wanaoendekeza vurugu za kudai kuchinja wanakosea. Haya ni matokeo ya hisia za kulipiza kisasi, jambo ambalo Yesu alilikemea sana. Acheni Waislamu waendelee kuchinja, kwani tangu tulipoanza kula vilivyochinjwa, hatujawahi kuona dosari kwenye nyama! Mkristo ukitaka, chinja nyumbani kwako. Basi.

Mwanangu, hukuulizwa wewe ni nani, ila naomba nikuulize sasa swali tofauti:
Je unaweza kujenga hoja au kutoa suluhu isiyo biased wala kuumiza hisia za upande wowote?
 
Hausadii!
Uamuzi mzuri ni kuwahamisha Wakristo waliopo sehemu za Waislamu na kuwapeleka sehemu za Wakristo.

Waislamu waliopo sehemu za Wakristo nao wahamishiwe sehemu za Waislamu.

Duh!
Ushahuri huu haunatofauti na ule wa Mwanakijiji na hii ni sawa na ile ya Nyerere ya kula Nyama ya mtu,
Na mkisha jikusanya waislam au wakristo mtagundua kuna Busha, shia, suni na kule kwingine kuna rc, Kkkt, AG, shughuli itabidi ianze upya ya kugawana.
 
Ni afadhali ukaishi jirani na budhist ,hindu,pagan mwenye maelewano kuliko muislamu anayejitapa ana dini ya haq imani ambayo ameshindwa kumjenga aishi vizuri na majirani na kumjengea kiburi cha kujiona ana haki kuliko wenzie.
 
jamani wadau hivi kipindi cha BEN MKAPA mambo haya yalikuwepo?..kipindi cha J.K NYERERE yalikuwepo? Tunakumbuka kipindi cha mzee ruksa bucha za nguruwe pale dar walizivamia..Mwenye uchungu na watu wake na nchi akakemea kwa dhati bila kumumunya maneno..J.K uko wapi? katiba inasemaje juu ya swala la uchinjaji?..wazili wako WASILA ameshindwa kusuluhisha badala yake anasuluhishia kwenye MEDIA..teh
Swali la msingi hapa mulikua wapi miaka yote? Hao viongozi ulio wa taja waliogopa mfumo kristo, ndio maana kila kilicho amliwa na kanisa kili pita. Tofauti na wasasa hataki kabisa kusikia habari za mchungaji wala mwenye ng'ombe. Ndiomaana wakristo hamumpendi
 
Kama waislam hawali hiyo nyama wanazuia ya nini? Kama kuchinja kwenu ni sala kwanini msiende kuchinja wenyewe mfanye sala?

Hapa kilichopo kwa waislam ni hivi, 'Kuchinja ni pesa(hela). Mnasingizia maandiko kumbe hampo huko. Siku hizi kila mtu amefanya Quran/Bible ni kichaka kila mtu ana pango lake humo ndani.

Mtu anajisomea only kimstari kimoja then anakifanyia action pasipo kuelewa ina maana gani. Wale wa mihadhara na makanisa mbao(manabii, mitume).
 
Taarifa nilizopata muda sio mrefu kutoka kwa mdau aliyepo huko boda ya Wajanja Tunduma ni kwamba kuna vurugu zinaanza kutokea kati ya Waislamu na Wakristo kutokana na ng'ombe 9 waliochinjwa jana na wakristo wenyewe. Walioko boda jamani tupeni taarifa zaidi. Hii nchi inakwenda wapi jamani?
Kama ni nyama ya biashara maduka yaweke tangazo ili waislam wajue hiyo nyama sio halal. Waislam hawana sababu ya kufanya fujo kama maduka yanaonyesha kama nyama haikuchinjwa na muislam ila kununua au kuacha. Ila kwa maoni yangu ni busara nyama ya biashara kuchinjwa na muislam ili wananchi wote waweze kununua nyama kwenye bucha yoyote. Ni makosa kwa baadhi ya waislamu kudhani wao tu ndio wenye haki ya kuchinja mnyama na kuvunja amani pale wanapoona mtu wa dini nyingine anachinja mnyama wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom