Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Status
Not open for further replies.
unajua kuna haki za jiran kaka sa we unataka uchinje ule pekeako aaahhhroho mbaya hiyo acha me nichinje tule wote
 
Hausadii!
Uamuzi mzuri ni kuwahamisha Wakristo waliopo sehemu za Waislamu na kuwapeleka sehemu za Wakristo.

Waislamu waliopo sehemu za Wakristo nao wahamishiwe sehemu za Waislamu.

Akili yako imeishia hapo?

Sio kwamba uamuzi uwe kila mtu aache ulafi na kiherehere? Kuna sehemu inaitwa ya Waislam na nyingine ya Wakristo? Je walio wa dini nyingine na wasio na dini watakaa kwa Wakristo au kwa Waislam?

Ndio maana mi niliona ni utaahira kusema kila punguani anaweza kutoa maoni ya katiba. Ni kujaza makaratasi tu.
 
Una matatizo ya akili, wewe ijumaa unaruhusiwa kwenda kuswali hakuna anayekufata nyuma eti apumzike, wengine wanaruhusiwa jumamosi wakasali wewe badala ukafanye kazi unapumzika na wale wa jumapili unapumzika nani kakuzuia usiende kazini. Ubongo wako haupo sawasawa.

Ha ha ha! Mkuu punguza za uso.
 
wazo la ovyo kabisa na barabara, magari na viwanja vya ndege, biashara nk zote utatenganisha?

Kama ni nyama ya biashara maduka yaweke tangazo ili waislam wajue hiyo nyama sio halal. Waislam hawana sababu ya kufanya fujo kama maduka yanaonyesha kama nyama haikuchinjwa na muislam ila kununua au kuacha. Ila kwa maoni yangu ni busara nyama ya biashara kuchinjwa na muislam ili wananchi wote waweze kununua nyama kwenye bucha yoyote. Ni makosa kwa baadhi ya waislamu kudhani wao tu ndio wenye haki ya kuchinja mnyama na kuvunja amani pale wanapoona mtu wa dini nyingine anachinja mnyama wake.

Hapo hapana
 
inabidi mtukufu wasira aende huko akaweke busara zake...hehehehe
 
kila mtu anahaki ya kichinja. ikiona hakifa alichochinja mwenzio kachinje chako. shwaaani uneyevutia kwako.
 
hakuna vurugu zozote kwa sasa, kilichotokea ni kwamb leo asubuhi kulitokea mtafuruku machinjioni uliosababishwa na bwana afya. baada ya kugoma kupima nyama iliyochinjwa na wakristu,hivyo kukosa uhalali wa kuuzwa mabuchani. mtafaruku ulihamia mjini baada ya wakristu ambao ndio wengi hapa kusikia mabucha yao yamefungwa sababu nyama haijapimwa....bila busara za diwani wa chadema Freck Mwakajoka huenda hali ingekua mbaya zaidi... haraka sana alitafutwa huyo bwana afya na kulazimishwa kupima nyama na kugonga mihuri chini ya ulinzi mkali wa polisi maana wananchi walikua na hasira sana na bwana afya. tetesi zinasema bwana afya alikua anatimiza maagizo ya mkuu wa wilaya .....mpaka sasa hivi hali ni shwari kabisa.!!!

CC Moderator.
 
Last edited by a moderator:
Hivi inakuwaje dini moja inataka dini nyingine ifuate utaratibu wao. Kikwete sasa atoe kauli la sivyo wakristo wataamini kuwa rais anapendelea diuni yake.
 
Hausadii!
Uamuzi mzuri ni kuwahamisha Wakristo waliopo sehemu za Waislamu na kuwapeleka sehemu za Wakristo.

Waislamu waliopo sehemu za Wakristo nao wahamishiwe sehemu za Waislamu.

Tanzania ina maeneo yaliyogawanywa kwa misingi ya dini????!!!
 
Hili ni janga litakalolipuka,...lisipodhibiwa.
Tatizo linalelewa na Mkuu wa nchi kukosa msimamo, anataka kuwapendeza wote.
Mbona enzi za Mzee Mwinyi pande zote zilitulia tuli pale alipotoa msimamo? Nachelea kusema hata kama Jk atatoa msimamo, hawatamwelewa wala kutii kwa sababu yeye mwenyewe hana msimamo.
Jk angejifunza kwa Dk Magufuli kuhusu kufuata sheria hata kama inakwaza bado watu wanamheshimu na kumpenda.
 
Haki ya kuwa mjinga nayo ni haki ya msingi. Hivyo acha wachinjane wamalizane.
 
Akili yako imeishia hapo?

Sio kwamba uamuzi uwe kila mtu aache ulafi na kiherehere? Kuna sehemu inaitwa ya Waislam na nyingine ya Wakristo? Je walio wa dini nyingine na wasio na dini watakaa kwa Wakristo au kwa Waislam?

Ndio maana mi niliona ni utaahira kusema kila punguani anaweza kutoa maoni ya katiba. Ni kujaza makaratasi tu.

Hausadii!
Uamuzi mzuri ni kuwahamisha Wakristo waliopo sehemu za Waislamu na kuwapeleka sehemu za Wakristo.

Waislamu waliopo sehemu za Wakristo nao wahamishiwe sehemu za Waislamu.
Sideeq, naona unakumbushia moja ya maazimio ya makongamano ya akina sheikh Mohamed Issa, Basalleh, Kundecha yaliyofanyika nchi nzima kwa baraka zote za serikali ya CCM chini ya ulinzi wa jeshi la polisi ya kwamba ikiwa itashindikana kuwa na mahakama ya kadhi kwa nchi nzima basi mikoa yenye waislamu wengi ijitenge ili mahakama hizo zifanye kazi ktk mikoa hiyo, wakaitaja mikoa hiyo kuwa ni Dsm, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora na Zanzibar.
Hakika haya mawazo ni mawazo kipumbavu, hayavumiliki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom