WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Ni mambo ambayo wenzetu walishayaacha kitambo, sis ndiyo tunahangaika nayo. Pengine hao hao waliyoyaleta ndiyo wameamua kutugawa ili waendelee kututawala milele kwa kuwa wenyewe wanayo experience ya nini madhara ya udini. Viongozi wa dini, serikali wanao wajibu wa kulinda umoja, heshima na amani katika jamii zetu.
Bila kuwa na makubaliano baina ya viongozi wa dini na serikali, tutaendelea kujazana hasira na mwisho tutaanza kupigana na hata kuuana. Viongozi wamekosa welevu wa kukaa chini na kuzungumza njia bora ya kulitatua tatizo hili.