Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

Status
Not open for further replies.
Marikiti acha mawazo ya kijinga hayo! kama bara ndiyo kuna ukafiri na ushetani basi vyote mnavyokula pwani(nyama na mazao yote) ni ukafiri mtupu na pwani yote ni makafiri kwani hakuna mnachozalisha wala kufuga' PUMBAVU ZAKOOO!!!!!
 
Ni kweli wakuu, defender zinamiminika boda la wajanja, wenye mifugo wanalalamika sheikh kudaka Tsh.10,000/= kwa kila shingo anayo kata na anachukua na maini, wameamua wawe wanajichinjia wenyewe.
 
Amri ya 7 inasema usiue,lakini haijasema usiue nini kwanini wakiristo mgombanie kuua.waachie wauaji waendelee kuua!
 
Hii ni hatari sana
Mla chake hana aibu
Sasa hao wa upande wa pili chokochoko za nini?
Sheria lazima ichukue mkondo wako
Wapi JK useme chochote kama
kwenye ghorofa lililoanguka Dar
 
Kama unachinja na kula mwenyewe na familia au ndugu zako hakuna taabu. Tatizo ni pale unapochinja kibudu chako then kupeleka bucha na kuanza kuuza jumla kwa watu wote. Naamini tatizo ndio liko hapo!

Mimi nachinja nyama bwana sio kibudu! lakini hata hivyo hakuna sheria inayomkataza mkristo kuchinja Mnyama! Tena biblia imeandikwa "Enendeni mkavitawale viumbe vyote vya ulimwengu"
 
Mimi ni mkristo, lakini katika hili nadhani Wakristo wanaoendekeza vurugu za kudai kuchinja wanakosea. Haya ni matokeo ya hisia za kulipiza kisasi, jambo ambalo Yesu alilikemea sana. Acheni Waislamu waendelee kuchinja, kwani tangu tulipoanza kula vilivyochinjwa, hatujawahi kuona dosari kwenye nyama! Mkristo ukitaka, chinja nyumbani kwako. Basi.
nchi inaongozwa kikatiba na sio kwa hisia, mimi sio mkristo lakini katika hili wakristo hawajakosea. Vurugu zinaanzishwa na upande wa pili ambao walizoeshwa kuchinja kila mnyama!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
amri ya 7 inasema usiue,lakini haijasema usiue nini kwanini wakiristo mgombanie kuua.waachie wauaji waendelee kuua!

nina kangurue kangu namwomba mwislamu anichinjie
 
Hausadii!Uamuzi mzuri ni kuwahamisha Wakristo waliopo sehemu za Waislamu na kuwapeleka sehemu za Wakristo.Waislamu waliopo sehemu za Wakristo nao wahamishiwe sehemu za Waislamu.
Ama kweli humu jf kuna vilaza wengi! Haya tuambie sehemu za wakristo ni zipi na za waislamu ni zipi? Pia tuambie sehemu za waaminio dini asilia ni zipi na wasio na dini nao sehemu zao ni zipi?
 
Taarifa nilizopata muda sio mrefu kutoka kwa mdau aliyepo huko boda ya Wajanja Tunduma ni kwamba kuna vurugu zinaanza kutokea kati ya Waislamu na Wakristo kutokana na ng'ombe 9 waliochinjwa jana na wakristo wenyewe. Walioko boda jamani tupeni taarifa zaidi. Hii nchi inakwenda wapi jamani?

Fafanua vizuri.
 
Marikiti acha mawazo ya kijinga hayo! kama bara ndiyo kuna ukafiri na ushetani basi vyote mnavyokula pwani(nyama na mazao yote) ni ukafiri mtupu na pwani yote ni makafiri kwani hakuna mnachozalisha wala kufuga' PUMBAVU ZAKOOO!!!!!
Asikusumbue huyo! hakuna Muislamu (mimi mwenyewe ni MUISLAMU wa Pwani kindakindaki ninaijua jamii yangu vyema) anayeweza kusema maneno yake!

Ametumwa huyo!
 
Naona Maaskofu wamewatuma muanze kuwagawanya Waislamu wa Pwani na Wabara sasa!

MMeshindwa na mtashindwa! Mpwani au Mbara anayesema Laailaaha illa llaah wote huunganishwa na tamko hili.

Huu ndio mwanzo wa mwisho wa MfumoKristo Tanzania.
Bye bye MfumoKristo!
na karibu mfumo uislamu-ugaidi!
 
Watu wanataka kuiba nyama za sikukuu hamna cha zaidi
 
Haya mambo yanakuzwa na viongozi wasiotaka kuitetea katiba kama walivyoapa, kwa anayeitetea na kuilinda katiba hawezi kuwa na kigugumizi kwa kukemea watu wanaojiona wana haki ya kuchinja kuliko wenzao.
 
Kama unachinja na kula mwenyewe na familia au ndugu zako hakuna taabu. Tatizo ni pale unapochinja kibudu chako then kupeleka bucha na kuanza kuuza jumla kwa watu wote. Naamini tatizo ndio liko hapo!
kwani wanunuzi ni vichaa? Mtu asilazimishwe kununua, aamue yeye!
 
waslam wanamatatizo. ka vpi wafungue bucha zao.
 
Hivi kwanini haya yote yanatokea sasa? Hakuna mtu wa kukemea hali hii? Haya basi na ajitokeze mtu aje anichinjie huyu Mkuu wa meza leo kwa ajili ya sherehe ya pasaka...Kila mtu ana haki ya kuchinja na kula anachotaka
 
Hivi nani mwenye haki ya kuchinja kikatiba? Katiba inasemaje
 
Uptodate:ameenda kuitwa mtu anayekagua afya ya nyama,kitu ambacho sijaelewa huyu atalimaliza vipi hili kwani majukumu yake ni kukagua usafi na afya ya nyama,waislamu wameamua kufunga butcher za wakristu,kuna tension kiasi kwani watu wanasubiria kitoweo cha pilau na butcher ndo zimefungwa,
tatizo la ndugu zangu waislamu ni kulazimisha mambo! Sio kila mtu lazima afuate mambo ya kiislamu. Mtu ashawishiwe kujiunga na dini ya mola, muislamu safi hatumii nguvu katika kuondoa uovu!
 
Wakristu jamani naomba tuendelee kujichinjia kitoweo chetu! Tukichinja hatuvunji sheria yoyote ya nchi! Mie nimejichinjia kambuzi kangu. Lazima tusimamie kwa hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom