VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Uganda anacheza leo na Nigeria kwenye International friend match, hivi huyu emmanuel okwi anayesifiwa sana na mikia kuwa hakuna kama yeye afrika mashariki ameitwa kwenye timu ya taifa kwenda kucheza na timu ngumu ya Nigeria ?

Masuke na Katavi watoe jibu but I presume, Okwi yuko Bongo na mikia fc.
 
Last edited by a moderator:
Acheni unazi, huu ni mchezo wa ligi kuu, kila timu inahitaji ushindi. Coastal Union ni tawi la Simba, mbona Tanga hapakutosha! Acheni kupotosha, timu yetu ni nzuri inashinda kwa uwezo siyo kuachiwa na timu yoyote.

Yanga Daima mbele, nyuma mwiko.

Hao mikia fc tangu serikali imepiga marufuku waganga wa kienyeji na vigagula hali yao imekuwa dhoofu sana.
 
Dak ya 73, jkt ruvu 1-3 yanga.
 
Taifa stars wao wanacheza lini friend match?

Katavi pamoja na masuke naomba mtoe jibu kwaninin yule msukule wenu okwi hajaitwa kwenye timu ya taifa kwenda kucheza na timu ngumu ya Nigeria ?
 
hii JKT ruvu nyepesi mnoo hata timu yangu ya mtaani inaifunga

Acha team yako ya mtaani mie mwenyewe nikijipanga na shost wangu wa mtaani tuna team ya mpira wa miguu tunailaza magoli kibao hiyo jkt
 
Masuke na Katavi watoe jibu but I presume, Okwi yuko Bongo na mikia fc.
Nadhani Kizuguto wa FUFA ndo anaweza kuwa na majibu mazuri zaidi kuliko sisi, maana yeye ndo anaweza kuwasiliana na Micho na kumweleza kwa nini wengine wameitwa wengine wameachwa.
 
Last edited by a moderator:
Huwa najiuliza sana kwanini Okwi huwa haitwi mara kwa mara kwenye timu ya taifa ?, na hata akiitwa huwa hafanyi vizuri. Nina mashaka na hili jamaa

Ni specialist player (Mchezaji Bingwa) wa kuifunga Yanga tu!
 
Acha team yako ya mtaani mie mwenyewe nikijipanga na shost wangu wa mtaani tuna team ya mpira wa miguu tunailaza magoli kibao hiyo jkt

Timu yako iko daraja la ngapi? Watu mnakula ugali na kulewa kama pombe mnakuja hapa kuposti vitu vya ajabu.
 
Back
Top Bottom