VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Mpira umekwishaaaaaaaa
JKT RUVU 1-3 YANGA.
 
kule kwenye PM nataka nikuombe namba ya simu, hapa hadharani naogopa kuuza ujuzi wangu wa haya mambo, tukifanya kwa simu ndiyo inakuwa poa sana, Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nimepata na mchumba leo nyamchele amekuwa demu wangu

Kirahisirahisi hivyo......Yanga Oyeeeeee!
 
FULL TIME: Yanga 3 - 1 JKT RUVU

mashabiki wa mikia wote anajifanya wakom busy kwenye jukwaa la mapenzi, nimewakuta kule wanapost ujinga ujinga tu sijui ndio hasira ya Yanga kumfunga JKT
 
Mapenzi huwa yanaanza kirahisi rahisi, sijawahi kuona mapenzi yanayo anza kiugumu ugumu

Yanga imeshinda, Hongera yanga, Hongera wapenzo wote na mashabiki wa Yanga! namanyele kuna jukwaa la mahusiano! Usijali iko siku tutakutana huko umwage hiyo shule ya mapenzi.....watafaidika wengi! All the best.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom