Gooooooooliiiiiiiiiiiii
JKT RUVU mnaniangusha sasa
Hapo Minziro sasa roho Nyeupe kabisa hata mpira ukiisha kwake ni burudani tu.Gooooooooliiiiiiiiiiiii
JKT RUVU mnaniangusha sasa
Wakifungwa mtaanza kusema si tulisema ni tawi la yanga,
ha ha ha ha ha
simba bwana mna mambo.
Huyu Kamuntu Samwel naona anaanza kumsaliti kocha wake.