VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Nadhani Kizuguto wa FUFA ndo anaweza kuwa na majibu mazuri zaidi kuliko sisi, maana yeye ndo anaweza kuwasiliana na Micho na kumweleza kwa nini wengine wameitwa wengine wameachwa.

Umejibu vizuri mkuu lakini kiukweli okwi huwa hana mchango wowote kwenye timu ya taifa ya Uganda
 
Hii Yanga sasa sifa!!!!

Umeona mambo ya Yanga, huwa wana malengo ya mbali sana tofauti na mikia fc lengo laom msimu mzima ni kujiandaa kumfunga Yanga tu au kutoa draw, sasa hili ndio linawatesa sana. Wanatamani ligi iwe na timu mbili tu yaani wao na Yanga basi ndio watachukua ubingwa
 
Hiyo aihitaji hata PM.........

kule kwenye PM nataka nikuombe namba ya simu, hapa hadharani naogopa kuuza ujuzi wangu wa haya mambo, tukifanya kwa simu ndiyo inakuwa poa sana, Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nimepata na mchumba leo nyamchele amekuwa demu wangu
 
Dak ya 90, jkt ruvu 1-3 yanga.
 
Back
Top Bottom