Za saa hizi wajameni, samahani kabla sijafanya sala naombeni kujua matokeo
3 - 1 yanga wanaongoza.Za saa hizi wajameni, samahani kabla sijafanya sala naombeni kujua matokeo
Mambo yanaendelea JKT Ruvu 1-3 Yanga, Msuva, anaongoza sasa kwa ufungaji.
Tutawakuta tuLeo tukishinda hii mechi tunafikisha pointi 40 simba watakuwa na point 26,tutaachana nao kabisa na tutadili na azam tu
Mambo yanaendelea JKT Ruvu 1-3 Yanga, Msuva, anaongoza sasa kwa ufungaji.
Na yule mchezaji wa zamani wa yanga alieko azam anamagoli mangapi...yanga bana
Hapo Minziro full raha.hii JKT ruvu nyepesi mnoo hata timu yangu ya mtaani inaifunga
Za saa hizi wajameni, samahani kabla sijafanya sala naombeni kujua matokeo
Hamna kitu hapa katika sala hii.Wote tufumbe macho na tuombe, Mungu baba yetu uliye mbinguni ibariki Yanga International football club, ipate ushindi mnono siku ya leo kama hali inavyo jionesha mpaka sasa, mbariki saimon msuva awe mfungaji bora msimu huu, ibariki Yanga ichukue kombe la CAF ili MIKIA Fc wazidi kuumia viroho vyao. Wote tuseme amen ili tuendelee kusoma updates
Hapo Minziro full raha.
Wachawi Fc mko wapiiiii....?
Wote tufumbe macho na tuombe, Mungu baba yetu uliye mbinguni ibariki Yanga International football club, ipate ushindi mnono siku ya leo kama hali inavyo jionesha mpaka sasa, mbariki saimon msuva awe mfungaji bora msimu huu, ibariki Yanga ichukue kombe la CAF ili MIKIA Fc wazidi kuumia viroho vyao. Wote tuseme amen ili tuendelee kusoma updates
hahahaaah,,,,mkuu Makoye Matale samahani kama nimekukwaza, ila hamna post yoyote ninayotoa hapa inayopotosha.Minziro kaifunga Yanga several times akiwa Prisons na hata JKT Ruvu, nini kipya leo hata asitafute ushindi? Posts zako na za Katavi zinapotosha sana hapa jukwaani. Kuweni neutral mtoe posts zisizofungamana na upande wowote ule.
Nilikwambia toka mwanzo na umeona jinsi Benjamin Haule alivyowasaidia kupata goli la tatu.Hapo Minziro full raha.