Ndugu yangu Makoye usihamaki sana, mimi sijasema kama JKT Ruvu ni tawi la Yanga ila kocha wake ndo Yanga na ni mwanachama wa Yanga, hivyo wachezaji wa Ruvu wanapoifunga Yanga ni kumsaliti kocha wao ambaye ni Yanga machozi.Acheni unazi, huu ni mchezo wa ligi kuu, kila timu inahitaji ushindi. Coastal Union ni tawi la Simba, mbona Tanga hapakutosha! Acheni kupotosha, timu yetu ni nzuri inashinda kwa uwezo siyo kuachiwa na timu yoyote.