VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Asanteni sana uongozi,wanachama na wachezaji kwa kutuweka juu daima!tujiweke tayari kwa mechi ya marudio ya kimataifa ili tuendelee kuweka heshima ya nchi juu,hao wengine tuwaachie kombe lao la mtani jembe.
 
pamoja na kumpongeza Msuva lkn kuna magoli mengi ambayo amekosa na nikashindwa kuamini
 
Bigup Yanga ilamsuva ukojuu badilikautakuwa best zaidi magolimenginesiyakukosa unajuasimbanayanga nilihisikahongwa kumbeniukata wakawaida pigakazinwanawane Adam washapptea njia
 
Bigup Yanga ilamsuva ukojuu badilikautakuwa best zaidi magolimenginesiyakukosa unajuasimbanayanga nilihisikahongwa kumbeniukata wakawaida pigakazinwanawane Azam washapptea njia
 
Back
Top Bottom