mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara leo tena pale Taifa mtoto atakuwa hatumwi dukani.
Timu ya JKT RUVU itakuwa inaikaribisha timu ya Wananchi wa Tanzania Dar young African (Yanga) pale uwanja wa Taifa majira ya saa 16:00 kamili kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Mchezo huo utakuwa wa kukatana shoka kutegemeana na hali ya timu hizo katika msimamo wa ligi, kwani yanga inahitaji point 3 ili kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo, huku jkt ruvu wakihitaji point 3 ili kujiweka vizuri katika msimamo wa ligi kuu.
Tukutane hapa hapa saa 16:00 Jioni na utakuwa nami mkolaj kukuletea updates kutoka uwanja wa Taifa.
Kila la kheir kwa timu ya wananchi dar young african.
============================
Matokeo
JKT Ruvu 1 - Yanga 3