VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Hesabu zielekezwe kwa Platinum na anayefuata . Kwenye VPL mshindani aliyebaki ni Azam pekee.
 
Kama utaki stress njoo ushabikie Yanga bhana,mbele kwa mbele mpk tunabeba ndoo yetu ya ubingwa
 
Hahahaaa, yaani wewe na MUSSOLIN hua mnanifurahisha sana.
Tatizo lako nikiongea vitu vya mantiki huwa hupendi kuvikubali, nilikwambia zamani kweli kwamba JKT Ruvu mna pointi zenu. Nadhani sasa utaanza kuamini pole pole.
 
Last edited by a moderator:
Msuva anagoli la 11 anaongoza ligi najua akikutana na demu wake ucku wa leo atapiga goli la 12
 
Tatizo lako nikiongea vitu vya mantiki huwa hupendi kuvikubali, nilikwambia zamani kweli kwamba JKT Ruvu mna pointi zenu. Nadhani sasa utaanza kuamini pole pole.

Hivi na yule kocha wa mgambo ni mwanachama wa Yanga
 
treni imefeli breki mlio mbele toeni poit 3 kwa hiari yenu mapemaaaaa.
 
Back
Top Bottom