Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Okwi bado sio mchezaji halali wa Yanga.Okwi atakuwa ameumia.nn mbona hapangwi ... kwiiii kwiiii haaa haaa.
Okwi bado sio mchezaji halali wa Yanga.Okwi atakuwa ameumia.nn mbona hapangwi ... kwiiii kwiiii haaa haaa.
chupa zmerushwa uwanjani,
chupa zmerushwa uwanjani,
Acha umalaya wako!
Tunataka matokeo maujinga yako peleka kwa wajinga wenzio huko?!
siwez jua mkuu...ila itakuwa ni wanaopnga maamuzi ya refa, hali shwari ss hv...costal wanapotza nafasi hapa..Nani anarusha? Washabiki wa jangwani au coastal?
dida kapigwa jiwe!
kweli mkuu...niyonzima alikuwa offside kabla ya goli...kona kwa coastalnasikia kuna goli limekataliwa huko mkwakwani. Ni kweli?
dida kapigwa jiwe!
Misukule ya Waturuki wamefungwa ngapi???
khee imekuwa bondia tena..