ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
kona imekuwa goal kick.
Naona mashabiki wengi wa Yanga hapa kwa Minchi..Jamaa wana uhakika
na pointi tatu, hayo ndio madai yao.
Watamuona tu.faulo...coastal walikuwa wanamtafuta dida...
Duh! Hili ndio gem la kufamtu.mbeya city 1 - 1 ruvu shooting
Offside offside offside mpaka Mpira unaisha Cost 1-0 kwa misukule ya Uturuki.
1. Deogratias Munish "Dida" -30
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 3
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa - 17
11. David Luhende - 3
Kuna harufu ya goli hapo golini kwa Yanga inanuka.kado anadaka...dida anaiokea yanga hapa...kona kwa yanga!
Hii mechi inaonekana ina kasi sana, kumbe hawa mavetereni bado wamo, maana kipa wa Simba Vetereni B anadaka halafu ndani ya muda mfupi kipa wa Simba Vetereni A naye anaokoa au ilipigwa ndefu?kado anadaka...dida anaiokea yanga hapa...kona kwa yanga!
Okwi atakuwa ameumia.nn mbona hapangwi ... kwiiii kwiiii haaa haaa.
ndio mkuu, mechi hii yyte afa hapa..Hii mechi inaonekana ina kasi sana, kumbe hawa mavetereni bado wamo, maana kipa wa Simba Vetereni B anadaka halafu ndani ya muda mfupi kipa wa Simba Vetereni A naye anaokoa au ilipigwa ndefu?