Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

Kikosi cha leo Coastal Union, kitakachokutanana Yanga katika mechi ya ligi kuu uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga saa kumi alasiri:
Golikipa Shaaban Kado,
mabeki ni Hamad Juma, Abdi Banda, Juma Nyoso, na Mbwana Kibacha.
Viungo ni Jerry Santo, Danny Lyanga na Crispian Odula. Washambuliaji watakuwa Haruna Moshi ¡®Boban¡¯, Yayo Kato na Kenneth Masumbuko.

Wachezaji wa akiba,
Said Lubawa, Atupele Green, Yusuf Chuma, Suleiman Kassim ¡®Selembe¡¯, Mohammed Sudi, Mohammed Miraji na Ayoub Semtawa.

COASTAL UNION
29 JANUARI, 2014
TANGA, TANZANIA

Vijana baada ya mlo wa mchana, wakituliza akili kabla ya mechi. Picha hii imepigwa sasa hivi kambini.

Picha iko wapi mkuu?
 
Dakika ya 15, Coastal Union 0 - 0 Young Africans
 
Mkuu ACCOUNT FULL tupia kikosi cha mabingwa kilichoanza.

1. Deogratias Munish "Dida" -30
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 3
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa - 17
11. David Luhende - 3
 
Back
Top Bottom