ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
once lambalamba always lambalamba..mkuu heshima yako, naona hukati tamaa na lamba lamba wako!
once lambalamba always lambalamba..mkuu heshima yako, naona hukati tamaa na lamba lamba wako!
Ahaaahaaa...una mikwala sana! uwepo hadi dk 90 hapa.Duh! Mbele wanasimama wa Cot'dvoa watupu? Basi huyo Rhino bola asiingize timu tu.
Tunataka astaafu vizuri..Arafu nasikia mumemrudisha kundini.
Nikimbie wakati natangaza ubingwa leo!!Ahaaahaaa...una mikwala sana! uwepo hadi dk 90 hapa.
kama nafasi ya pili nayo ni ubingwa sawa.., ila kwa nafasi ya kwanza sahau.., angalia azam two uone burudani!Nikimbie wakati natangaza ubingwa leo!!
Yanga vs coastal game imeanza...
Dida anaendelea kumsugulisha kaseja benchi.
Sioni kitu mkuu.Kikosi cha leo Coastal Union, kitakachokutanana Yanga katika mechi ya ligi kuu uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga saa kumi alasiri:
Golikipa Shaaban Kado,
mabeki ni Hamad Juma, Abdi Banda, Juma Nyoso, na Mbwana Kibacha.
Viungo ni Jerry Santo, Danny Lyanga na Crispian Odula. Washambuliaji watakuwa Haruna Moshi ¡®Boban¡¯, Yayo Kato na Kenneth Masumbuko.
Wachezaji wa akiba,
Said Lubawa, Atupele Green, Yusuf Chuma, Suleiman Kassim ¡®Selembe¡¯, Mohammed Sudi, Mohammed Miraji na Ayoub Semtawa.
COASTAL UNION
29 JANUARI, 2014
TANGA, TANZANIA
Vijana baada ya mlo wa mchana, wakituliza akili kabla ya mechi. Picha hii imepigwa sasa hivi kambini.
Leo naongoza ligi Alafu hakuna wa kunishika shati mpaka mwisho wa ligi.kama nafasi ya pili nayo ni ubingwa sawa.., ila kwa nafasi ya kwanza sahau.., angalia azam two uone burudani!