Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

Mkuu leo lazima turudi kwenye nafasi yetu tunayostahili ukizingatia hatuna mechi ngumu sana leo.

Na nyie huwa mna nafasi kumbe? Anyway sio mbaya kujipa moyo ila nijuavyo mimi mwisho wa siku nafasi yenu huwa ya tatu mkijitahidi sana ya pili
 
Habari mbaya kwa wauza magazeti. Hapo Kesho ninaimani biashara yao itakosa soko baada ya Matokeo ya leo pale uwanja wa mkwakwani.
 
Naona harufu ya sare na Rhino kama sio kubanjuliwa
Sare akupe nani? Kitambaa chenyewe kidogo sana. Ikiwa mziki ameushindwa Timu ya mikia ameushindwa Timu ya matango ya Uturuki, ndio aweze huyo mdudu Rhino? Leo tunatangaza Ubingwa wa VPL.
 
Naona tkt ya mzungu inaanzia hapa

hope ana rtn tktbkurudi kwao
 
Sare akupe nani? Kitambaa chenyewe kidogo sana. Ikiwa mziki ameushindwa Timu ya mikia ameushindwa Timu ya matango ya Uturuki, ndio aweze huyo mdudu Rhino? Leo tunatangaza Ubingwa wa VPL.

Mnatangaza ubingwa gani leo? Au vya kushinda tenda ya kuuza visimbusi
 
Azam FC
Mwadini, Malika, Erasto, Aggrey, Moradi, Bolou, Himid, Sure Boy, Kone, Kipre & Kimwaga
 
All da best to our team 'dar young africans'.
 
Azam FC
Mwadini, Malika, Erasto, Aggrey, Moradi, Bolou, Himid, Sure Boy, Kone, Kipre & Kimwaga
Duh! Mbele wanasimama wa Cot'dvoa watupu? Basi huyo Rhino bola asiingize timu tu.
 
Here's Young Africans line-up to face Coastal Union today:
1. Deogratias Munish "Dida" -30 2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 3
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa - 17
11. David Luhende - 3

Subs:
1. Juma Kaseja -1
2. Juma Abdul - 12
3. Rajab Zahir - 14
4. Hamis Thabit - 22
5. Nizar Khalfan - 16
6. Said Bahanuzi - 11
7. Jerson Tegete - 10
 
Back
Top Bottom